Taifa Stars kuonywesha duniani kote

Taifa Stars kuonywesha duniani kote

Ilitakiwa mechi isionyeshwe then tuwafanyie mambo ambayo wanatufanyiaga tukiwa kwao

Mkuu, usiamini uwongo huo...vile vilikuwa visingizo tu kwani kipindi kile kulikuwa hakuna TV na mitandao kama sasa. Bongo hatuna mpira bali ubabaishaji tu. Si ulisoma magazeti ya jana jinsi Mkwasa na wachezaji wake wlivyokuwa wanajitapa kuwa watafia uwanjani? Mbona hatukuona jitihada zozote zile wala bidii ya ukabaji tu kulikuwa hakuna.
 
Tanzania tuangalie fan nyingine itakayo tutoa kimasomaso mpira tunalazimishana tu, mpira ni kama mwanamke kama hakutaki mwache aende zake usimbake!
 
Back
Top Bottom