Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
- Thread starter
-
- #41
Ilitakiwa mechi isionyeshwe then tuwafanyie mambo ambayo wanatufanyiaga tukiwa kwao
Aisaee umesema..la maana rafiki!!Tanzania tuangalie fan nyingine itakayo tutoa kimasomaso mpira tunalazimishana tu, mpira ni kama mwanamke kama hakutaki mwache aende zake usimbake!
Aisaee umesema..la maana rafiki!!
Strog R... kwani matokeo ya mechi vipi ? nipo safarini...Haya mambo ya kuumizana miaka nenda rudi sio kabisa.