Taifa stars leo tunashinda na kusonga

Taifa stars leo tunashinda na kusonga

Pamoja na kejeli zoote bado wanaipigania nchi yako
Wapumbavu tu hakuna mpiganoa nchi maana hata nchi haiwapiganii ni haki yao ya msingi kufungwa na kila timu watakayocheza nayo mpira wa bongo ni manyoya tu uzalendo ni pamoja na kukosoa sio kusifia sifia tu mfano huyo wanaemuita samagoli hana kitu upepo tu ulimpitia anachocheza hakionekani
 
Tanzania mpira mdogo na kushinda wanategemea zaidi miujiza kuliko ufundi. Mpira wa Tanzania unaharibiwa zaidi na siasa pamoja na mipango mibovu.

Ccm pamoja na mwenyekiti wao wanatumia mpira kama jukwaa la kujitafutia umaarufu ambao hawana tena hivyo inafaa Tanzania ifungwe na kuondolewa mashindanoni ili wanaotumia mpira kujitafutia umaarufu waondoke kwa aibu.
Wacheze kuelekea Goli la Congo na washambulie waache tabia chafu ya kucheza kukimbilia golini kwao
 
Back
Top Bottom