Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Tunashinda jackpotNajua hatuna imani na Taifa stars Wachezaji mmoja mmoja lakini leo tutawashinda Congo kwa 1:0 na tutasonga mbele.
Zambia atafungwa na Morroco 2:1
Asanteni
AmenKila La Kheri Taifa Stars
Baki hapo hapo tuonane baadaeLabda tusonge sembe *****
ni kwa imani unaandika au ni kwa uhalisia? Labda iwe maajabu ya mpira ndio itasonga mbeleNajua hatuna imani na Taifa stars Wachezaji mmoja mmoja lakini leo tutawashinda Congo kwa 1:0 na tutasonga mbele.
Zambia atafungwa na Morroco 2:1
Asanteni
Mpira hauna mjanja, unaweza kuifunga hata Argentina kijanani kwa imani unaandika au ni kwa uhalisia? Labda iwe maajabu ya mpira ndio itasonga mbele
Labda washinde njaa au washinde na mikosiNajua hatuna imani na Taifa stars Wachezaji mmoja mmoja lakini leo tutawashinda Congo kwa 1:0 na tutasonga mbele.
Zambia atafungwa na Morroco 2:1
Asanteni
Mwakalobo tu. Yanga hategemei maduduTanzania tutategemea bahati mpaka lini? Hata Simba na Yanga CAFCL zinategemea mazali.
Pamoja na kejeli zoote bado wanaipigania nchi yakoLabda washinde njaa au washinde na mikosi
Wapumbavu tu hakuna mpiganoa nchi maana hata nchi haiwapiganii ni haki yao ya msingi kufungwa na kila timu watakayocheza nayo mpira wa bongo ni manyoya tu uzalendo ni pamoja na kukosoa sio kusifia sifia tu mfano huyo wanaemuita samagoli hana kitu upepo tu ulimpitia anachocheza hakionekaniPamoja na kejeli zoote bado wanaipigania nchi yako
Wacheze kuelekea Goli la Congo na washambulie waache tabia chafu ya kucheza kukimbilia golini kwaoTanzania mpira mdogo na kushinda wanategemea zaidi miujiza kuliko ufundi. Mpira wa Tanzania unaharibiwa zaidi na siasa pamoja na mipango mibovu.
Ccm pamoja na mwenyekiti wao wanatumia mpira kama jukwaa la kujitafutia umaarufu ambao hawana tena hivyo inafaa Tanzania ifungwe na kuondolewa mashindanoni ili wanaotumia mpira kujitafutia umaarufu waondoke kwa aibu.
Goli la Msuva nani alitoa assist?wanaemuita samagoli hana kitu upepo tu ulimpitia anachocheza hakionekani
Piga mambwa hayo piga yarudi yakapumzike pigaaaa makenge tu hayoGoli la Msuva nani alitoa assist?
Hilo goli linatofauti gani na goli la mbuzi kwenye k ya pundaGoli la Msuva nani alitoa assist?
Ukifungwa usibadirishe gear ntakutukanaPiga mambwa hayo piga yarudi yakapumzike pigaaaa makenge tu hayo