Taifa stars leo tunashinda na kusonga

Samagol kweli sasa ni box tupu lkn alishawahi thubutu kufanya kitu.

Lakini wewe labda kuinyea ardhi ya Tanzania tu hakuna ulichofanya
 
Kimsingi katika kundi hili, Tanzania ilikuwa na uwezo wa kutoka sare mechi moja na kushinda moja. Mategemeo yalikuwa kumfunga Zambia halafu sare na DRC.

Kama TZ itamfunga DRC leo itakuwa ndani ya mategemeo yale yale isipokuwa tu huo ushindi ulikuwa mrahisi zaidi katika mechi na Zambia.
 
Mungu saidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…