Sega la asali
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,153
- 2,700
- Thread starter
-
- #61
Si utakula?Kusonga ugali sawa
Mmecheza na zambia wakiwa pungufu mmechemkaaaUna uhakika?
Unsonaje tunavyowatesa DRC?Labda mpira wa visoda
Umeona ball?Mmecheza na zambia wakiwa pungufu mmechemkaaa
Ova
Akiamka Atakuta Stars ImefuzuUmeona ball?
Stars ni mavi ya punda tu😂Akiamka Atakuta Stars Imefuzu
Kushinda njaa auNajua hatuna imani na Taifa stars Wachezaji mmoja mmoja lakini leo tutawashinda Congo kwa 1:0 na tutasonga mbele.
Zambia atafungwa na Morroco 2:1
Asanteni
Stars ni mavi ya pundaKushinda njaa au
Hebu niambie hapa shot on target kwa upande wa taifa star kwenda kongoUmeona ball?
Achana na hao mafala😂Hebu niambie hapa shot on target kwa upande wa taifa star kwenda kongo
Ova