Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Andaeni makapu ya kuwekea lumbesa la magoli mutakayokuwa mumefurumushwa nayo[emoji1]Utakumbushwa
Timu ya taifa siku zote ina muda mchache wa kukaa kambinijambo lolote la kujenga umoja na mabadiliko katika mwili hasa michezo linahitaji mazoezi zaidi ya wiki mbili jombaa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Wakirudi ata na goli moja mkononi najiondoa jf
Wakirudi ata na goli moja mkononi najiondoa jf
Ha ha ha, watakuweka korokoroni siku 7Wakirud na goli namim ntaanza kutumia mifuko ya rambo
Ila kiukweli kutokana na taabu ya upatikanaji wa hii mipya, udhaifu pamoja na bei yake kuwa kubwa sana, hii imepelekea ile ya plastic kuanza kurudi taratubu kwa huku kwetu.Wakirud na goli namim ntaanza kutumia mifuko ya rambo
Tunaenda kuwapa watu points za mezani, ikumbukwe kwamba ile mechi ya mwisho na uganda tulikuwa tumeipania wkt wenzetu walikuwa dizain kama wapo kwenye mazoez tu, kwakuwa walikuwa wameshafuzu tayar.[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Niko pamoja na ww?
Nasubiri ujiondoe humu, watz sijui tumerogwa na Nani , huwa hatupendi vyetuWakirudi ata na goli moja mkononi najiondoa jf
Sinaga ushabiki maandaz mkuu, timu kama mbovu ni mbovu tu ata ikiwa ya home,Nasubiri ujiondoe humu, watz sijui tumerogwa na Nani , huwa hatupendi vyetu
Nakujua wewe si yule msomali wa tiefu tiefu?Mimi ni mtu mkubwa sana hmu jamvini mkuu, najifichia nyuma ya id fake bt lait kama ungebahatika kujua mm ni nan ungeenda kusimulia ukoo wako mzima kuwa nimechat na ww[emoji1]
Msukuma wewe na mpira wapi na wapi.,.Acha porojo yaani Samatta afe uwanjani ache mamilioni huko ulaya?
Nusu ya mchele mkuuTaifa Stars hii mnayoidharau inaweza ikafika hata nusu fainali na hata zaidi ya hapo...subirini....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si mchezoMimi ni mtu mkubwa sana hmu jamvini mkuu, najifichia nyuma ya id fake bt lait kama ungebahatika kujua mm ni nan ungeenda kusimulia ukoo wako mzima kuwa nimechat na ww[emoji1]
[emoji2] omba tu nibakie nyuma ya fake id ndugu yangu, ila napenda ku socializeNakujua wewe si yule msomali wa tiefu tiefu?
Watu maarufu pia tuko humu mkuu,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si mchezo
SawaAndaeni makapu ya kuwekea lumbesa la magoli mutakayokuwa mumefurumushwa nayo[emoji1]
ndo maana hatufanyi vizuriTimu ya taifa siku zote ina muda mchache wa kukaa kambini
Hata zinazofanya vizuri hazikai kambini muda mrefundo maana hatufanyi vizuri