Taifa stars mechi moja ya majaribio inatosha kuchukua kombe la Afrika

Taifa stars mechi moja ya majaribio inatosha kuchukua kombe la Afrika

Wakirud na goli namim ntaanza kutumia mifuko ya rambo
Ila kiukweli kutokana na taabu ya upatikanaji wa hii mipya, udhaifu pamoja na bei yake kuwa kubwa sana, hii imepelekea ile ya plastic kuanza kurudi taratubu kwa huku kwetu.
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Niko pamoja na ww?
Tunaenda kuwapa watu points za mezani, ikumbukwe kwamba ile mechi ya mwisho na uganda tulikuwa tumeipania wkt wenzetu walikuwa dizain kama wapo kwenye mazoez tu, kwakuwa walikuwa wameshafuzu tayar.
 
Mimi ni mtu mkubwa sana hmu jamvini mkuu, najifichia nyuma ya id fake bt lait kama ungebahatika kujua mm ni nan ungeenda kusimulia ukoo wako mzima kuwa nimechat na ww[emoji1]
Nakujua wewe si yule msomali wa tiefu tiefu?
 
Back
Top Bottom