Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha hamna mle, Mayanga ana rekodi gani kupewa Stars? Team selection nayo ovyo kabisa.Tanzania ni nchi ya Maajabu sana.
Kama TFF waliona Mkwasa akisaidiwa na Kibadeni hawakukidhi matarajio, iweje wadhani Mayanga ataweza?
Mayanga ni bora kuliko Mkwasa na Kibadeni? Au kocha wa bei rahisi bora liende?
Kwenye issue ya kocha Taifa Stars Malinzi amevuruga kupita maelezo. Alianza kumtoa Kim Poulsen na kumleta yule kiazi Mholanzi!
Naona kigezo kilikuwa kocha wa bei rahisi maana Mkwasa mwenyewe huenda hajalipwa hadi leo.Kocha hamna mle, Mayanga ana rekodi gani kupewa Stars? Team selection nayo ovyo kabisa.
Kuna Kagera Sugar mkuu, waulize Simba wamefia wapi msimu huumpira was bongo ni SIMBA NA YANGA tu!hatuna cha ziada!