Taifa Stars mnaboa

Taifa Stars mnaboa

mi mwenyeji wa shinyanga,sijawahi kuona "fundi wa kuendesha baiskeli" mkuu,wako maeneo gani hapa je ni ngokolo,ibinzamata,ndala,majengo,matanda,mshikamano,ndembezi,buhangija,ugweto,bushushu au old shy?
 
Taifa stars ovyo sana, mpira wao wa ovyo sana. Wajipange upya. Na wapate kocha mzuri.
Ovyo km mataputapu. Dhambi ya kula rambi rambi na kufuta ajira inaigharimu taifa stars.
Huwezi kuwanyanyasa watu kwenye ardhi yao halafu utegemee huko nje tutashinda.
Bado mpira sana, tujipange
 
Tanzania ni nchi ya Maajabu sana.

Kama TFF waliona Mkwasa akisaidiwa na Kibadeni hawakukidhi matarajio, iweje wadhani Mayanga ataweza?

Mayanga ni bora kuliko Mkwasa na Kibadeni? Au kocha wa bei rahisi bora liende?

Kwenye issue ya kocha Taifa Stars Malinzi amevuruga kupita maelezo. Alianza kumtoa Kim Poulsen na kumleta yule kiazi Mholanzi!
 
Mm nashangaa kuona watu wanaumiza kichwa kuhusu stars. Hiyo timu lazima iwe mbovu tu. Kama hizo timu za simba na yanga ni kimeo unategemea timu ya taifa iweje.
 
Tanzania ni nchi ya Maajabu sana.

Kama TFF waliona Mkwasa akisaidiwa na Kibadeni hawakukidhi matarajio, iweje wadhani Mayanga ataweza?

Mayanga ni bora kuliko Mkwasa na Kibadeni? Au kocha wa bei rahisi bora liende?

Kwenye issue ya kocha Taifa Stars Malinzi amevuruga kupita maelezo. Alianza kumtoa Kim Poulsen na kumleta yule kiazi Mholanzi!
Kocha hamna mle, Mayanga ana rekodi gani kupewa Stars? Team selection nayo ovyo kabisa.
 
Kocha hamna mle, Mayanga ana rekodi gani kupewa Stars? Team selection nayo ovyo kabisa.
Naona kigezo kilikuwa kocha wa bei rahisi maana Mkwasa mwenyewe huenda hajalipwa hadi leo.

Wenzetu wanaangalia mafanikio ya mtu kabla ya kumpa timun ya taifa. Mayanga kashinda kitu gani hadi apewe timu ya taifa?
 
bado wadau tutafanya maajabu na nafasi tunayo hata kwao tunaweza kuwafunga na pia kuna michezo mingi tutajirekebisha .sawa ni kichwa cha mwendawazimu lakini kwa hili naomba tuvumiliane na kama tatizo ni ile kauli ya mzee mwinyi basi kabla ya kucheza Mchezo mwengine tukamuombe mzee wetu mpenzi afute ile kauli yake kabla kifo chake.
 
Kabla ya kuwalaumu Taifa Stars wasio na elimu wala mtaji, tujiulize Tanzania imewahi kuwa kinara kwenye nini kama taifa?
 
Back
Top Bottom