Taifa Stars Shindeni Ili Suala la Nusu Bei Lisitupite.

Taifa Stars Shindeni Ili Suala la Nusu Bei Lisitupite.

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wakuu
Kama mnavoona hali ya mechi ya leo, mimi siumii Stars Kutokwenda AFCON naumia hili suala la nusu bei likitupita sisi wadau wa vinywaji.
Dua na sala ziko kwenu na ninyi mjitume sana sana ili mambo yawe mazuri.
Mkumbuke mkipambana kuanzia Dompo, Saint Anne, Dodoma Wyne, Robertson, K Vant, Konyagi, Grants, Cognac whisky, JackDaniels, Gongo, Ulanzi, Togwa, Kimpumu, Mbege, Kayoga, Mnazi, yote hayo nusu bei jamani pambaneni ili tufirahie kama taifa ndugu zangu
 
Haya sasa! 3-0 na ni dk ya 67! Okwi amekuwa mzalendo namba moja; maana tangu ameanza hadi anapata sub, alijitahidi kubutua butua tu kule mbele.
 
Back
Top Bottom