Taifa stars squad na uongo wa umri

Write your reply...
himid mao siku nyingine ana 24 au 26 haizidi hapo!
team imejaa vijeba vimekomaa havifananii na huo umri wanaosema!
 
bOKO AMECHEZA kIGI kUU mIAKA KUMI MFULULIZO,UNAWEZA HISI UMRI WAKE!🙂🙂
 
Ajibu hayumo AFCON. Nimecheki Uganda Okwi ana 26 halisi 38.
 
Hii nyuzi inafaida gani kwetu? Fikirieni faida na hasara ya mnayoyaandika kwanza mazee.
 
Nyie ndo wachawi
PUMBAVU kabisa
Kacheze wewe basi mwenye halisi
PUMBAVU¿¿¿
 
Sijui ni tatizo la Afrika au la ila Kwenye ishu ya umri, wengi hudanganya
 
Hawezi chakachua tena kwani caf wanarekodi zake,
Jidanganye mzee..wanchofanya wanatengeneza vyeti feki vya kuzaliwa kupotia haohao Rita...na wanavitumia fresh tu...kama Hugo kelvin john hapungui miaka 20-21 hadi 23 lakini kwenye cheti cha Rita anamiaka 17..

Salama anamiaka 20 lakini uhalisia anamiaka 26
 
Umri una maana gani kwenye AFCON
kwanza umri sahihi unaendana na wakati sahihi!
wenzetu uko dunia ya tatu wanajali swala la umri ndo maana haishangazi mbappe ana 20yrs ya ukweli!
angesemaga aende kucheza kwao cameroon leo hii angesema ana miaka 17!
mwanamichezo mwenye umri mkubwa moves,skills,phisycal ya mwili(utimamu wa mwili) ni wa kusuasua! na akiumia anachelewa kupona kama santi cazola,shomari kapombe
sirudii!
 
Siyo wachezaji tu,Tz ofisi nyingi za Serikali wengi inatakiwa wawe wamestaafu ila wanasinzia tu maofisini kwa kudanganya umri,mtu ana 65lakini vyeti vinaonyesha 49.......bora wachezaji nikazi ya kuonekana wanafanya,ila hawa wa maofisini ndiyo wanakwamisha mengi sana
 
Rudia kwa msisitizo ili tunaoelewa polepole tuelewe pia
 
Kocha anaangalia umri katika kuchagua wachezaji au perfomance?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…