severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajibu hayumo AFCON. Nimecheki Uganda Okwi ana 26 halisi 38.1.Mbwana samata - 26 halisi 30
2. Simon msuva - 25 halisi 28
3. Ulimwengu -26 halisi 28
4. Ibrahim ajib -22 halisi 31
5. Jogn bocco -29 halisi 34
6. Farid mussa - 22 halisi 27
7. Himid mao -26 halisi 33
8. Mdathir yahya - 24 halisi 30
9. Gadeiel michael -22 halisi 27
Wafuatao ndo wanaumri sahihi bila kupunguza
10. Kelvin yondani - 34
11. Aggrey moris - 35
VIJEBA STARS
Source sofascore.com
Nashauri serikali iingilie swala la wachezaji kudanganya umri haiwezekani game ya misri tufike mara moja golini sababu ni hii kwamba kikosi chetu ni cha wazee waliodanganya umri na vijeba. Tukuze soka la watoto kwanza hawa vijeba watanipa pesa za kubet sanaa mechi zote tatu naua tu.
[emoji16] [emoji16] [emoji16] acheni masihara huyo 30'sSasa mnashangaa nni huyu ana 19 yrs hapo alipo
Nyie ndo wachawi1.Mbwana samata - 26 halisi 30
2. Simon msuva - 25 halisi 28
3. Ulimwengu -26 halisi 28
4. Ibrahim ajib -22 halisi 31
5. Jogn bocco -29 halisi 34
6. Farid mussa - 22 halisi 27
7. Himid mao -26 halisi 33
8. Mdathir yahya - 24 halisi 30
9. Gadeiel michael -22 halisi 27
Wafuatao ndo wanaumri sahihi bila kupunguza
10. Kelvin yondani - 34
11. Aggrey moris - 35
VIJEBA STARS
Source sofascore.com
Nashauri serikali iingilie swala la wachezaji kudanganya umri haiwezekani game ya misri tufike mara moja golini sababu ni hii kwamba kikosi chetu ni cha wazee waliodanganya umri na vijeba. Tukuze soka la watoto kwanza hawa vijeba watanipa pesa za kubet sanaa mechi zote tatu naua tu.
Umri una maana gani kwenye AFCONWrite your reply...
himid mao siku nyingine ana 24 au 26 haizidi hapo!
team imejaa vijeba vimekomaa havifananii na huo umri wanaosema!
Nyie ndo wachawi
PUMBAVU kabisa
Kacheze wewe basi mwenye halisi
PUMBAVU¿¿¿
Jidanganye mzee..wanchofanya wanatengeneza vyeti feki vya kuzaliwa kupotia haohao Rita...na wanavitumia fresh tu...kama Hugo kelvin john hapungui miaka 20-21 hadi 23 lakini kwenye cheti cha Rita anamiaka 17..Hawezi chakachua tena kwani caf wanarekodi zake,
Umeona halistahili hapo?Tangu wasukuma mjue kuwa kuna neno "pumbavu" imekuwa shida. Mnalitumia kila mahali hata pasipostahili.
Umeona halistahili hapo?
kwanza umri sahihi unaendana na wakati sahihi!Umri una maana gani kwenye AFCON
Inawezekana unawazungumzia Wahutu..ila neno lenyewe linakuja haraka haraka ndio shida[emoji41]Tangu wasukuma mjue kuwa kuna neno "pumbavu" imekuwa shida. Mnalitumia kila mahali hata pasipostahili.
Rudia kwa msisitizo ili tunaoelewa polepole tuelewe piakwanza umri sahihi unaendana na wakati sahihi!
wenzetu uko dunia ya tatu wanajali swala la umri ndo maana haishangazi mbappe ana 20yrs ya ukweli!
angesemaga aende kucheza kwao cameroon leo hii angesema ana miaka 17!
mwanamichezo mwenye umri mkubwa moves,skills,phisycal ya mwili(utimamu wa mwili) ni wa kusuasua! na akiumia anachelewa kupona kama santi cazola,shomari kapombe
sirudii!
Kocha anaangalia umri katika kuchagua wachezaji au perfomance?kwanza umri sahihi unaendana na wakati sahihi!