Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
naona sasa unanichosha bro!Kocha anaangalia umri katika kuchagua wachezaji au perfomance?
1.Mbwana samata - 26 halisi 30
2. Simon msuva - 25 halisi 28
3. Ulimwengu -26 halisi 28
4. Ibrahim ajib -22 halisi 31
5. Jogn bocco -29 halisi 34
6. Farid mussa - 22 halisi 27
7. Himid mao -26 halisi 33
8. Mdathir yahya - 24 halisi 30
9. Gadeiel michael -22 halisi 27
Wafuatao ndo wanaumri sahihi bila kupunguza
10. Kelvin yondani - 34
11. Aggrey moris - 35
VIJEBA STARS
Source sofascore.com
Nashauri serikali iingilie swala la wachezaji kudanganya umri haiwezekani game ya misri tufike mara moja golini sababu ni hii kwamba kikosi chetu ni cha wazee waliodanganya umri na vijeba. Tukuze soka la watoto kwanza hawa vijeba watanipa pesa za kubet sanaa mechi zote tatu naua tu.
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa kwenye huo umri ila umenistua kwa Ajib japo haimaanishi napingaHuyu naye anajiita Mtanzania Mzalendo,kazi ipo kweli kweli kwa sampuli ya watu wa aina hii.
[emoji13][emoji13][emoji13] eti surasura ile ya Humid Mao halafu awe na 26yrs only!! Jeez!! This is cheating.
Wawa Pascal 25
Aisee kama ni kweli hatuna timu., tuna baraza la wazee1.Mbwana samata - 26 halisi 30
2. Simon msuva - 25 halisi 28
3. Ulimwengu -26 halisi 28
4. Ibrahim ajib -22 halisi 31
5. Jogn bocco -29 halisi 34
6. Farid mussa - 22 halisi 27
7. Himid mao -26 halisi 33
8. Mdathir yahya - 24 halisi 30
9. Gadeiel michael -22 halisi 27
Wafuatao ndo wanaumri sahihi bila kupunguza
10. Kelvin yondani - 34
11. Aggrey moris - 35
VIJEBA STARS
Source sofascore.com
Nashauri serikali iingilie swala la wachezaji kudanganya umri haiwezekani game ya misri tufike mara moja golini sababu ni hii kwamba kikosi chetu ni cha wazee waliodanganya umri na vijeba. Tukuze soka la watoto kwanza hawa vijeba watanipa pesa za kubet sanaa mechi zote tatu naua tu.
[emoji4][emoji23]Aisee kama ni kweli hatuna timu., tuna baraza la wazee
Shikamoo baba MkubwaOkwi 27! Kagere 24! Tusiwashangae Stars tu! Hili tatizo ni la bara zima la Afrika.
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa kwenye huo umri ila umenistua kwa Ajib japo haimaanishi napinga
Yawezekana kuna udanganyifu kwenye umri kweli lakini nawe unaleta udanganyifu wako mwingine!1.Mbwana samata - 26 halisi 30