Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
naona sasa unanichosha bro!Kocha anaangalia umri katika kuchagua wachezaji au perfomance?
uliza maswali yenye mantiki kaka!
haya anaweza kuweka plani yake wachezaji wenye umri mkubwa akawaita kumi, hao waliobaki ni vijana! hapo je?
au anaweza akaita wakongwe tu, au akaita makinda tu! utajuaje kama kocha anaangalia vitu ulivyotaja? au upo ndani ya akili ya amunike?
sirudii