Taifa stars squad na uongo wa umri

Taifa stars squad na uongo wa umri

Kocha anaangalia umri katika kuchagua wachezaji au perfomance?
naona sasa unanichosha bro!
uliza maswali yenye mantiki kaka!
haya anaweza kuweka plani yake wachezaji wenye umri mkubwa akawaita kumi, hao waliobaki ni vijana! hapo je?
au anaweza akaita wakongwe tu, au akaita makinda tu! utajuaje kama kocha anaangalia vitu ulivyotaja? au upo ndani ya akili ya amunike?

sirudii
 
Huyu naye anajiita Mtanzania Mzalendo,kazi ipo kweli kweli kwa sampuli ya watu wa aina hii.
1.Mbwana samata - 26 halisi 30
2. Simon msuva - 25 halisi 28
3. Ulimwengu -26 halisi 28
4. Ibrahim ajib -22 halisi 31
5. Jogn bocco -29 halisi 34
6. Farid mussa - 22 halisi 27
7. Himid mao -26 halisi 33
8. Mdathir yahya - 24 halisi 30
9. Gadeiel michael -22 halisi 27
Wafuatao ndo wanaumri sahihi bila kupunguza
10. Kelvin yondani - 34
11. Aggrey moris - 35

VIJEBA STARS

Source sofascore.com
Nashauri serikali iingilie swala la wachezaji kudanganya umri haiwezekani game ya misri tufike mara moja golini sababu ni hii kwamba kikosi chetu ni cha wazee waliodanganya umri na vijeba. Tukuze soka la watoto kwanza hawa vijeba watanipa pesa za kubet sanaa mechi zote tatu naua tu.
 
Ibrahima Sow

-Klabu : Sevilla
-Uraia : Senegal
-Umri : Chini ya Miaka 12 (U-12)
-Amefunga magoli 29 mpaka sasa katika msimu huu wa 2018/2019
1130339
 
1.Mbwana samata - 26 halisi 30
2. Simon msuva - 25 halisi 28
3. Ulimwengu -26 halisi 28
4. Ibrahim ajib -22 halisi 31
5. Jogn bocco -29 halisi 34
6. Farid mussa - 22 halisi 27
7. Himid mao -26 halisi 33
8. Mdathir yahya - 24 halisi 30
9. Gadeiel michael -22 halisi 27
Wafuatao ndo wanaumri sahihi bila kupunguza
10. Kelvin yondani - 34
11. Aggrey moris - 35

VIJEBA STARS

Source sofascore.com
Nashauri serikali iingilie swala la wachezaji kudanganya umri haiwezekani game ya misri tufike mara moja golini sababu ni hii kwamba kikosi chetu ni cha wazee waliodanganya umri na vijeba. Tukuze soka la watoto kwanza hawa vijeba watanipa pesa za kubet sanaa mechi zote tatu naua tu.
Aisee kama ni kweli hatuna timu., tuna baraza la wazee
 
Nimekustua (nimekushtua)kwa Ajib?Mimi ndio nilieanzisha uzi huo wa umri wa wachezaji?Mimi nimekoti na kuweka maoni yangu.

Umekula mahararage ya wapi mdau wangu muda huu?
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa kwenye huo umri ila umenistua kwa Ajib japo haimaanishi napinga
 
1.Mbwana samata - 26 halisi 30
2. Simon msuva - 25 halisi 28
3. Ulimwengu -26 halisi 28
4. Ibrahim ajib -22 halisi 31
5. Jogn bocco -29 halisi 34
6. Farid mussa - 22 halisi 27
7. Himid mao -26 halisi 33
8. Mdathir yahya - 24 halisi 30
9. Gadeiel michael -22 halisi 27
Wafuatao ndo wanaumri sahihi bila kupunguza
10. Kelvin yondani - 34
11. Aggrey moris - 35

VIJEBA STARS

Source sofascore.com
Nashauri serikali iingilie swala la wachezaji kudanganya umri haiwezekani game ya misri tufike mara moja golini sababu ni hii kwamba kikosi chetu ni cha wazee waliodanganya umri na vijeba. Tukuze soka la watoto kwanza hawa vijeba watanipa pesa za kubet sanaa mechi zote tatu naua tu.
Yawezekana kuna udanganyifu kwenye umri kweli lakini nawe unaleta udanganyifu wako mwingine!
*
*
Mfano kwa halisi ya sammata unayodai wewe, hiyo naikataa kwa nguvu kubwa! Sammata hawezi kufikisha miaka 30 Abadan...
 
Back
Top Bottom