Taifa stars vs Central African Republic inaanza saa ngapi?

Taifa stars vs Central African Republic inaanza saa ngapi?

Peramiho yetu

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2018
Posts
5,303
Reaction score
14,983
Tupo uwanjan mechi tuliambiwa tuwahi itaanza saamoja kamili lakn had mda huu Kuna sintofahamu

Au Africa ya kati hawajalipwa Chao mapema

Mtujuze mapema wengine tunakaa mbali Sana hapa mjini

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Aaah tunacheza na vibonde sana,kipa wa Africa ya kati amefungwa goli la kijinga sana
 
Back
Top Bottom