Taifa Stars Vs Malawi

Kama TBC hawana uwezo wangeingia mikataba na vituo binafsi vya TV kurusha matangazo ya mechi zinazohusu timu ya taifa kwa masharti ya kuonyeshwa pia kupitia TBC 1. Kwa mfano kama mechi inarushwa na Azam TV, basi ionekane kupitia Azam One na TBC 1. Wananchi wana haki ya kuiona timu yao ya taifa.
 
si kweli kuwa super sports blittz wanaonesha pambano hilo
 
Malawi 1 - 0 Tanzania mpira umekwisha . Next Algeria 🙆
 
hongera taifa stars ,kaz tunay kwa algeria..
 

Mbona Jamal Malinzi alishalitolea ufafanuzi tayari jana kuhusiana na miundombinu ya media za malawi kuwa hawajawezeka kwenye media na hawataonyesha
 
Last edited by a moderator:
Mbona Jamal Malinzi alishalitolea ufafanuzi tayari jana kuhusiana na miundombinu ya media za malawi kuwa hawajawezeka kwenye media na hawataonyesha

Ilionyeshwa na Malawi Broadcasting Cooperation (MBC) LIVE...
 
Last edited by a moderator:
wale wana fitna nyingi za kimpira hasa wakiwa kwao ,game y nyumban tukiwapga kam 3 ivi kwao hawachomoki..

Kwa TFF ya Jamal Malinzi hata sare Dar hatupati!Mkuu nimeona hizi games zote mbili na Malawi sisi bado sana na Malawi ni nyanya mno so sio kipimo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…