Taifa Stars Vs Malawi

Taifa Stars Vs Malawi

...haaa umeisha?! mbn mbili kama hazitoshi vile?
 
Tatizo ni kwann wanachezesha yanga Una muigizaji hajibu dk za mwisho umeona impact yake kwa d.k 3 alizoingia

Una muachaje hajibu nje unamuigiza dk ya 90

Kocha ndo anawajua zaidi. Mbona kamtoa ulimwengu na kumwingiza hajibu, unataka kusema hajibu ana kiwango kumzidi ulimwengu. Tuweke pembeni usimba na uyanga linapokuja suala la Timu ya taifa
 
kaz tunayo kwa algeria sasa ,awa malawi n kam tushawatoa..
 
Una muachaje hajibu nje unamuigiza dk ya 90

Huyo Ajibu hata kwenye klabu yake ya mchangani siyo first eleven., amekuwa akiingia kama sub kama alivyotendewa haki katika mechi ya leo. Huyo Ajibu ni mshambuliaji, hivi unategemea amuweke benchi Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu?

Shame on you.
 
Malinzi na timu yako mmefanya vizuri kuongeza idadi ya wachezaji wa kigeni kwenye ligi VPL. Vijana wa Tanzania ilibidi waongeze jitihada kupata namba. Vijana wetu wanaocheza ligi za ndani wamejitahidi Sana Leo. Hongera Tanzania. Tunaweza.
 
Huyo Ajibu hata kwenye klabu yake ya mchangani siyo first eleven., amekuwa akiingia kama sub kama alivyotendewa haki katika mechi ya leo. Huyo Ajibu ni mshambuliaji, hivi unategemea amuweke benchi Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu?

Shame on you.

Tulia we shabiki wa yanga 💉💉💉💉
 
Ngassa kafanya nn Leo

Hata kama Ngassa asingecheza, Ajibu asingeingia kwa nafasi hiyo ya kiungo wa pembeni. Fahamu kuwa mpira unachezwa kwa nafasi siyo issue ya kuangalia jina la mtu na klabu yake kama unavyotupigia kelele hapa, overall timu imeshinda nenda kajipongeze mahali unapoona panafaa.
 
wachezaji waliocheza mechi ya taifa stars vs malawi
1.ally mustapha-yanga
2.shomari kapombe-azam
3.haji mwinyi-yanga
4.kelvin yondani-yanga
5.nadir haroub-yanga
6.himid mao-azam
7.mrisho ngassa-free state stars
8.said ndemla-simba
9.mbwana samatta-tp mazembe
10.thomas ulimwengu-tp mazembe
11.farid mussa-azam
12.salum telela-yanga
13.simon msuva-yanga
14.ibrahim hajib-simba
hao ndio waliotupatia ushindi wa magoli 2 kwa 0 yaliyofungwa na 'samatta na ulimwengu'
asanteni wachezaji wetu kwa kutupa raha mashabiki na wapenzi wa taifa letu
 
wachezaji waliocheza mechi ya taifa stars vs malawi
1.ally mustapha-yanga
2.shomari kapombe-azam
3.haji mwinyi-yanga
4.kelvin yondani-yanga
5.nadir haroub-yanga
6.himid mao-azam
7.mrisho ngassa-yanga
8.said ndemla-simba
9.mbwana samatta-tp mazembe
10.thomas ulimwengu-tp mazembe
11.farid mussa-azam
12.salum telela-yanga
13.simon msuva-yanga
14.ibrahim hajib-simba
hao ndio waliotupatia ushindi wa magoli 2 kwa 0 yaliyofungwa na 'samatta na ulimwengu'
asanteni wachezaji wetu kwa kutupa raha mashabiki na wapenzi wa taifa letu

Mrisho Ngassa SIYO Yanga bhana, usipotoshe ukweli.
 
kichwa cha mwendawazimu kinaanza kupona taratibu.
 
Back
Top Bottom