Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,076
Wakuu nje. ya mada kidogo hivi kutangazwa kwa Mkwasa kuwa kocha mkuu ameachia madaraka pale yanga ama anaendelea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama yanga ndo wanacheza
malawi wanafanya mabadiliko
Achana na usimba na uyanga sisi tunataka ushindi timu ya taifa ya Tanzania bila kujali kacheza nani.
Wakuu nje. ya mada kidogo hivi kutangazwa kwa Mkwasa kuwa kocha mkuu ameachia madaraka pale yanga ama anaendelea?
Na jumapili yanga lazima mfungwe na malawi kwao
stars wanashambulia sana
Na jumapili yanga lazima mfungwe na malawi kwao
Bora useme tatizo lako nini huenda ukapata msaada
Wakuu nje. ya mada kidogo hivi kutangazwa kwa Mkwasa kuwa kocha mkuu ameachia madaraka pale yanga ama anaendelea?
Acha roho mbaya Mkuu; huu ndio ulofa na upumbavu ambao amekuwa akiizungumzia Benjamin Mkapa.
Tayari kaachia ngazi, Yanga hatuna pingamizi lolote, tunamtakia kila la heri katika jukumu la kuiongoza Taifa Stars.
Mbona kama yanga ndo wanacheza
Ndemla, Ibrahimu Haji = simba
Kapombe, Himid Mao, Farid Musa = azam fc
Samatta, Ulimwengu = TP Mazembe
...ameachia, kapewa mkataba na TFF wa miaka miwili.