cnjona
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 1,027
- 239
Ngassa kafanya nn Leo
kacheza mpira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngassa kafanya nn Leo
Una muachaje hajibu nje unamuigiza dk ya 90
Nimerudisha uzalendo wangu (ulipotea tangu kufukuzwa kwa Maxmo) kwa timu yangu ya Taifa.
Niliahidi sintoishangilia Taifa stars mpaka kocha awe mzawa.
Naleo zimefanikiwa ndoto zangu.
Unyoso sio mzuri
kaz tunayo kwa algeria sasa ,awa malawi n kam tushawatoa..
...aaaaaah...tushawatoa siyo?!
siku nying ,hawajui mpira hawa..
Mechi ni SAA 8 mchana ya Malawi ambapo huku ni. SAA 9 alasiri, viva Taifa. Stars
Hii mechi ni j2 au sio?
Ndiyo Mkuu, ni Jumapili. Bado sijaona Live broadcast ya TV yoyote, mwenye taarifa atupatie. Si vibaya hata tukipata Live stream links ili tuione hiyo mechi. S9 EA watarusha marudio ya mechi hiyo ifikapo 1800hrs CAT.
Mtanange huo hautaonyeshwa na kituo chochote cha tv au kwenye radio hii ni kwa mujibu wa Malinzi.
Bongo bana hatujali wala kujivunia vya kwetu. Karne hii kweli tunashindwa kupeleka media zetu, tv au redio? Hivi hatujatambua kuwa nchi na bidhaa za nchi vinatangazwa kwa njia nyingi?