Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
full time:tanzania 2-0 malawi
18'samatta
21'ulimwengu
Una muachaje hajibu nje unamuigiza dk ya 90
we ulitaka ajibu aanze ulimwengu akae benchi?
Tatizo ni kwann wanachezesha yanga Una muigizaji hajibu dk za mwisho umeona impact yake kwa d.k 3 alizoingia
Una muachaje hajibu nje unamuigiza dk ya 90
Una muachaje hajibu nje unamuigiza dk ya 90
Huyo Ajibu hata kwenye klabu yake ya mchangani siyo first eleven., amekuwa akiingia kama sub kama alivyotendewa haki katika mechi ya leo. Huyo Ajibu ni mshambuliaji, hivi unategemea amuweke benchi Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu?
Shame on you.
Taja wachezaji wote waliocheza Leo na kuingia sub mechi ya Leo na club zao
Ngassa kafanya nn Leo
Tulia we shabiki wa yanga í-½í²‰í-½í²‰í-½í²‰í-½í²‰
wachezaji waliocheza mechi ya taifa stars vs malawi
1.ally mustapha-yanga
2.shomari kapombe-azam
3.haji mwinyi-yanga
4.kelvin yondani-yanga
5.nadir haroub-yanga
6.himid mao-azam
7.mrisho ngassa-yanga
8.said ndemla-simba
9.mbwana samatta-tp mazembe
10.thomas ulimwengu-tp mazembe
11.farid mussa-azam
12.salum telela-yanga
13.simon msuva-yanga
14.ibrahim hajib-simba
hao ndio waliotupatia ushindi wa magoli 2 kwa 0 yaliyofungwa na 'samatta na ulimwengu'
asanteni wachezaji wetu kwa kutupa raha mashabiki na wapenzi wa taifa letu
Mrisho Ngassa SIYO Yanga bhana, usipotoshe ukweli.