zbc ndo gån hiyo tenå?
Simba na Yanga tunacheza lini!?
Timu zinaingia Uwanjani. Kwa upande wa Taifa Starz timu inaongozwa na Captein Nadir Haroub Canavaro.
Dimba la juu linaongozwa na "mkatili" said ndemla.
Yaap! Dimba la Chini lipo chini ya Himid Mao Mkami
Leo ni Yanga na timu gani umesema? naona majina ya wachezaji wengine hapo au ni bonanza? Kila la heri Dar Young Africa.
Amesajiliwa kwa leo tu, mpira ukiisha anarudi Mazembe.samata amehamia yanga lini?.
angalia supersport 7 mpira umeanza.bilabila