Taifa Stars Vs Malawi

Taifa Stars Vs Malawi

online hauoneshwi? toka kocha awe mkwasa naitazama kwa makin stars nisaidien kujua kama ipo online na link yake, nipo mbal
 
Leo ni Yanga na timu gani umesema? naona majina ya wachezaji wengine hapo au ni bonanza? Kila la heri Dar Young Africa.
 
Timu zinaingia Uwanjani. Kwa upande wa Taifa Starz timu inaongozwa na Captein Nadir Haroub Canavaro.
 
Timu zinaingia Uwanjani. Kwa upande wa Taifa Starz timu inaongozwa na Captein Nadir Haroub Canavaro.

Dimba la juu linaongozwa na "mkatili" said ndemla.
 
Nawaona Wazee wa Mazembe Full Viduku,
Samatta na Ulimwengu tuinue watz
 
stars wanaonekana kutafuta goli la mapema
 
Naangalia matangazo ya moja kwa moja kwenye tv. Vijana wetu wanajitahidi sana.
 
Back
Top Bottom