Taifa Stars Vs Malawi

Taifa Stars Vs Malawi

Vijana wanajitahidi, bado ni mapema.....japo wakienda chumbani wanaweza kugonga viroba
 
Washenzi Wamekuja Mwaka Wamabadiliko,kila Mwaka Wanakuja Wanatafuta draw,huu Mwaka Lazima Tuwanyoooshe...#hapakazitu
 
Wanyasa ni wazuri tujiangalie wasije kurudisha hayo magoli, maana sisi duuu hatuaminiki
 
Asante ex-kocha wa Yanga tunaona anafanya yake...ama kweli wazawa wakipewa nafasi wana weza.
Mkwasa big up baba....
 
Niko Wembley Stadium Kashai - Bukoba
 

Attachments

  • 1444224764596.jpg
    1444224764596.jpg
    69.3 KB · Views: 302
Ukabaji wetu sijaukubali kabisa,goli mbili sio salama
 
Asante ex-kocha wa Yanga tunaona anafanya yake...ama kweli wazawa wakipewa nafasi wana weza.
Mkwasa big up baba....

Mkuu ungesubiri japo mechi iishe kwanza,usije kumgeuka tu Kocha
Hahahaaaaa!!
 
Back
Top Bottom