cnjona
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 1,027
- 239
Ni Samatta au Ulimwengu mkuu?
goli la kwanza ulimwengu katoa pasi samata kafunga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Samatta au Ulimwengu mkuu?
22'mins tanzania 2-0 malawi
samatta,ulimwengu
ulimwengu tz 2-0 malawi leo ni zamu yetu
Malawi wamerudi nyuma,wameamua kujihami wasirudi kwao na kapu la magoli.
goli la kwanza ulimwengu katoa pasi samata kafunga.
Naangalia Super Sport 7
Asante ex-kocha wa Yanga tunaona anafanya yake...ama kweli wazawa wakipewa nafasi wana weza.
Mkwasa big up baba....
Leo tumewakamata hawa!Wanyasa ni wazuri tujiangalie wasije kurudisha hayo magoli, maana sisi duuu hatuaminiki