Taifa Stars Vs Malawi

Hivyo ni vituo vya CCM usitaraji hata siku moja wakuoneshe jambo la kitaifa wakati wa mihadhara ya CCM...

Naangalia matangazo ya moja kwa moja kwenye tv. Vijana wetu wanajitahidi sana. TBC1 na Star tv wanaonyesha mkutano Wa Rais mtarajiwa,Pombe,wako Moshi uwanja Wa mashujaa
 
tbc1 wanarusha mkutano wa pombe kaz kwel kwel h ndo tz
 
Taifa Starz 1-0 Malawi
Pass maridadi kutoka kwa Thomas Ulimwengu
 
ila beki zetu wanafanya makosa mengi sana yanaweza kutugarimu
 
Leo ndo Leo.
Stars 2: Malawi 0
Limefungwa na T Ulimwengu
 
ulimwengu tz 2-0 malawi leo ni zamu yetu
 
Malawi wamerudi nyuma,wameamua kujihami wasirudi kwao na kapu la magoli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…