Taifa Stars Vs Malawi

Vijana wa Taifa Stars wanashambulia mwanzo mwisho. Wanakaba kwa nguvu,wanatafuta mipira,pasi zinapigwa,wanamiliki, wanatengeneza nafasi. Ni mwaka wa mabadiliko kila angle. Hapa Kazi Tu. Hakuna kuremba
 
Wakuu wekeni picha kwa mwenye kuweza,japo nasi tuone gemu kwa picha.
 
Duu. T Ulimwengu amekosa goli,hakuitendea haki krosi ya Shomari Kapombe. Mashabiki uwanja mzima wanatikisika.Ni raha.
 
half time
stars 2-0 malawi
18'samatta,21'ulimwengu
 
Michi hii yakugombania nini?

We Kitoabu kwani ni mieleka hii hadi wawe wanagombana...teh teh...

Ni mechi ya awali ya kufuzu kuelekea kombe la dunia Russia 2018...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…