Niko Wembley Stadium Kashai - Bukoba
Wakirudisha hizo goli, tareh 25 sipigi kura.
Kombe la dunia au la Africa?We Kitoabu kwani ni mieleka hii hadi wawe wanagombana...teh teh...
Ni mechi ya awali ya kufuzu kuelekea kombe la dunia Russia 2018...
jamani, hivi hawa wachezaji wanatoka club zipi? 3.haji mwinyi; 6.himid mao; 11.farid mussa
hapa bora game iishe maana ule msemo wa kichwa cha mwendawazimu usije kujirudia kipindi cha pili ...... Sijui wanachezaje huko maana nafatilia matokeo tu
Kombe la dunia au la Africa?
Na ile ya Nigeria tulikua tunagombea nini?
Au ni kundi moja na hili?
Zanzibar Broadcasting Corporationzbc ndo gån hiyo tenå?
Hapa bora game iishe maana ule msemo wa kichwa cha mwendawazimu usije kujirudia kipindi cha pili ...... Sijui wanachezaje huko maana nafatilia matokeo tu
Wakuu mechi iishe tuu...maana hatukawii kuharibu