Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
- Thread starter
-
- #121
Mpira umekwisha!!!!!!!!!! 2-1 FT Watanzania tunakwenda Abidjan Ivory Coast mwakani mwezi February.
Bravo Maximo! Bravo Stars
Mpira umekwisha!!!!!!!!!! 2-1 FT Watanzania tunakwenda Abidjan Ivory Coast mwakani mwezi February.
Bravo Maximo! Bravo Stars
Hongera MASATU!!!!
kwa live updates, nimekuwa nafuatilia kimya kimya maake pressure ilikuwa juu. TAIFA STARS OYEEEEEEEE!!!!! Kama wasudan wamefunga matimu makubwa BASI KUANZIA SASA WAJUE WABONGO SI WALE WALIOKUWA WANAWAJUA MIAKA ILE!!!!!!!!!!!!
Thanks MASATU. That is not available anywhere, ecept here, at JF. Was great kijana. Ubarikiwe sana
Ningekuwa na nanihii ya tatu ningebinya. Naona mambo yataisha kwa 2 -1. Ngoja nijaribu kubinya paipu pengine italeta tofauti.
Asanteni wana Yanga wote.
Hongereni wachezaji wa YANGA kwa kuonyesha boli safi!
Dogo umepinda...kwani upo uwanjani? hahaha nasikia kuminya theory lazima uwepo uwanjani
Dogo wakirudi bongo si jani tu, bali na mademu ya bure! Kazi kwelikweli. Mradi wasisahau kibarua ndiyo kwanza kimeanza.
First lady kumbe tuko nyumba moja?😱Code:[/QUOTE] Hahaha YANGA timu funga hao sudani warudi kwao wakachimbe mafuta!
Hahaha YANGA timu funga hao sudani warudi kwao wakachimbe mafuta!
Lakini mkuu si umeona vitu vya madogo wa YANGA?wewe mwenyewe ulituhabarisha vitu vya idd Athumani na NGASA mRISHO huo ni mfano tu!Mshaanza mambo yenu hayo Yanga ovyoo kabisa!
Lakini mkuu si umeona vitu vya madogo wa YANGA?wewe mwenyewe ulituhabarisha vitu vya idd Athumani na NGASA mRISHO huo ni mfano tu!