TAIFA STARS Vs SUDAN-2nd Leg

TAIFA STARS Vs SUDAN-2nd Leg

Mpira umekwisha!!!!!!!!!! 2-1 FT Watanzania tunakwenda Abidjan Ivory Coast mwakani mwezi February.

Bravo Maximo! Bravo Stars

Ubarikiwe sana mkuu Masatu,tubashukuru kwa kuutumia muda wako kutujuza yale yote yaiyojiri Khartoum,,hope February mwakani utatujuza yatakayokuwa yakiendelea Abidjan..thanks mkuu
 
Hongera MASATU!!!!
kwa live updates, nimekuwa nafuatilia kimya kimya maake pressure ilikuwa juu. TAIFA STARS OYEEEEEEEE!!!!! Kama wasudan wamefunga matimu makubwa BASI KUANZIA SASA WAJUE WABONGO SI WALE WALIOKUWA WANAWAJUA MIAKA ILE!!!!!!!!!!!!
 
Hongereni wachezaji wa YANGA kwa kuonyesha boli safi!
 
Mie navaa majani naingia mtaani na huku kwetu Mbagala naona leo ntakabwa lakini it worth it.....
 
Mpira umekwisha!!!!!!!!!! 2-1 FT Watanzania tunakwenda Abidjan Ivory Coast mwakani mwezi February.

Bravo Maximo! Bravo Stars

Thanks MASATU. That is not available anywhere, ecept here, at JF. Was great kijana. Ubarikiwe sana
 
Masatu asante sana kwa update zako,hii ya kwako ndio inaitwa laivu bila zengwe!Maana nipo Sudan kusini maeneo ya JUBA jamaa walikuwa wanachonga kweli sasa wametulia tuliiiiii,kidume napeta ndani ya jezi yangu ya Tanzania. Wadau mnaonaje tukiwa na jina mahsusi kwa timu yetu kama wenzetu wana simba wa teranga,tembo wa Cameroon n.k?
 
Hongera MASATU!!!!
kwa live updates, nimekuwa nafuatilia kimya kimya maake pressure ilikuwa juu. TAIFA STARS OYEEEEEEEE!!!!! Kama wasudan wamefunga matimu makubwa BASI KUANZIA SASA WAJUE WABONGO SI WALE WALIOKUWA WANAWAJUA MIAKA ILE!!!!!!!!!!!!

Yap Tanzania kwa sasa ni 'vinyozi wa wendawazimu'
 
Thanks MASATU. That is not available anywhere, ecept here, at JF. Was great kijana. Ubarikiwe sana

Poa mkuu watu wanasahau goli la kwanza limefungwa Henry Joseph ambae ni SIMBA kwa hiyo poa nasi Simba pia tumo kudadadeki!
 
Ningekuwa na nanihii ya tatu ningebinya. Naona mambo yataisha kwa 2 -1. Ngoja nijaribu kubinya paipu pengine italeta tofauti.

Dogo umepinda...kwani upo uwanjani? hahaha nasikia kuminya theory lazima uwepo uwanjani
 
Dogo wakirudi bongo si jani tu, bali na mademu ya bure! Kazi kwelikweli. Mradi wasisahau kibarua ndiyo kwanza kimeanza.
 
Dogo wakirudi bongo si jani tu, bali na mademu ya bure! Kazi kwelikweli. Mradi wasisahau kibarua ndiyo kwanza kimeanza.

Yap mitungi,,blunt na 'scissors' kwa sana tu..mibichwa inaviiiiimba..anyways ni raha ya ushindi hiyo ila isipitilize
 
Mshaanza mambo yenu hayo Yanga ovyoo kabisa!
Lakini mkuu si umeona vitu vya madogo wa YANGA?wewe mwenyewe ulituhabarisha vitu vya idd Athumani na NGASA mRISHO huo ni mfano tu!
 
Lakini mkuu si umeona vitu vya madogo wa YANGA?wewe mwenyewe ulituhabarisha vitu vya idd Athumani na NGASA mRISHO huo ni mfano tu!

Man of the match alikuwa Henry Joseph ambae ni captain na kubwa zaidi ni SIMBA!
 
Back
Top Bottom