TAIFA STARS Vs SUDAN-2nd Leg

TAIFA STARS Vs SUDAN-2nd Leg

Wasudan wamejaa uwanjani lakini wamenywea kama wamelowa maii ya mvua. Dakiak 25 bado 1-0
 
Huyu mtoto Mrisho Ngasa anawanyanya kweli kudadadeki! tatizo lake Yanga tuu
 
Datazi zinasema mzee Wenger katuma mtu uwanjani hapo,kuna uwezekano mkubwa Henry joseph akaanza kuvaa uzi wa Arsenal!
 
Masatu, wanacheza Yanga huko Kumbe teh teh teh teh !!

Mkuu Ushi,

Japo huyu mtoto ni Yanga lakini namkubali. sudan wanashambulia kweli sasa ongezeni maombi huko dakika 29 bado tunaongoza 1-0
 
Mkuu Ushi,

Japo huyu mtoto ni Yanga lakini namkubali. sudan wanashambulia kweli sasa ongezeni maombi huko dakika 29 bado tunaongoza 1-0

Dogo ni mzuri ila lile umbile lake nadhani linamkoshesha soko la mpira wa kulipwa. Nadhani alipata utapiamlo alipokuwa mdogo
 
Huyu kipa wetu MAGUMASHI kweli anachachawa ile mbaya dizaini mapepe hivi....
 
Huyu kipa wetu MAGUMASHI kweli anachachawa ile mbaya dizaini mapepe hivi....

Matatizo huanzia hapo, akiendelea kuchachawa hakawii kufungwa
kipumbavu, anyway tunaiombea TAIFA STARS ishinde.
 
Wasudan wana mbinu chafu kama wamisri kuna filimbi zinalia ovyoo kutoka kwa washabiki kuwachanganya vijana lakini wapo ngangari. Mpira umesimama huyu kipa maepep DIHILE kaumia dakika ni 42 bado 1-0
 
Mkuu tangu mpira umeanza vipi, je tumewadhibiti vyakutosha
kiasi labda tunaweza kuibuka na ushindi au hata droo?.

Komavu,

Tumewamudu sana tu ingawa wanatushambulia lakini na sisi tunapiga sana counter attack halfu wachezaji wetu wanaonekana vijana hivyo wanakimbiza sana hivi vidingi.

Komavu komaa tu ushindi upo dakika 44 bado 1-0
 
Ndugu yangu Masatu, kazi nzuri. Nilikuwa najiandaa na pepa la juma3. Good job, leta habari
 
Wasudan wana mbinu chafu kama wamisri kuna filimbi zinalia ovyoo kutoka kwa washabiki kuwachanganya vijana lakini wapo ngangari. Mpira umesimama huyu kipa maepep DIHILE kaumia dakika ni 42 bado 1-0

Sounds good
Nadhani tumeshinda mpira huo. I will be the happiest person here. tell the results, I go out now to fetch Absolute VODKA and kitimoto to relax
 
Back
Top Bottom