Hili linalotokea ni sawa na babu kakaa na mjukuu, babu kajamba mjukuu ndio anakula kofi kuwa mbona anajamba hovyo? Ila waungwana wanajua nani hasa!Jiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee njoo usikie wanavyomsema mtoto wako! Hawana adabu
Meli yetu ile? Acha masihara wewe! Kwa ule mwendo wake sii itafika Cape Verde mwezi February 2019?Mimi bado naona mauzauza tu. Ratiba ya mechi inajulikana. Waziri anatangazia Taifa na wapenzi wa soka kuwa kuna usafiri wa ndege ya serikali (dreamliner). Kila anayehtaji kwenda anatakiwa kuchangia "gharama kidogo tu" dola 1500 - 2000. Siku ya safari wameshajitokeza watu 262 wa kujaza Dreamliner, ghafla inagundulika uwanja wa ndege kumbe ni mdooooogo!! Unafaa kutua helkopta na ndege ndogondogo tu. Binafsi nachanganyikiwa sijui abiria zaidi ya 200 waliotoa nauli zao tutawaambia nini? Tingewaambia mapema watangulie na boti za Azam wangeshafika masikini!! Hata hivyo hakijaharibika kitu, kama uwanja ni Mdogo na tumeahindwa kuonesha "Fahari" yetu basi kesho ile meli yetu tuliyohifadhi jeshini kama silaha ya akiba (Mv Dar es salaam) ianze safari Mara moja. Hatuahiiiindwiii!
Meli ya Kijeshi itumie miezi 5 hapo Cape Verde tu jamani?Meli yetu ile? Acha masihara wewe! Kwa ule mwendo wake sii itafika Cape Verde mwezi February 2019?
kwa maana hiyo nikwamba viwanja vya Mwanza na Kilimanjaro ni vikubwa kuliko Uwanja wa Taifa wa Cape Verde?????October 9, 2018
Dar-es-Salaam, Tanzania
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe amesema Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania – Taifa Stars kitaondoka usiku wa leo kuelekea mjini Praia, Cape Verde kwa ndege ya kukodi kuifuata timu ya taifa ya huko kwa ajili ya michuano ya kufuzu kwa michuano ya AFCON inayotarajiwa kufanyika mapema mwakani.
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea kambi ya timu hiyo Waziri Mwakyembe amesema, mabadiliko ya safari hiyo kutoka Dream Liner na kuamua kukodi ndege yanatokana na ufinyu wa uwanja wa ndege wa Mjini Praia ambao hauwezi kutua ndege kubwa.
Aidha Waziri Mwakyembe amewataka wachezaji wa Taifa stars wakacheze kwa kujituma ili kuibuka na ushindi katika mchezo huo huku akiwasihi watanzania kuiombea timu hiyo.
Kwa upande wake Rais wa TFF Wallace Karia na Nahodha Msaidi wa Taifa Stars Himidi Mao wameelezea maandalizi ya mchezo huo.
Habari & Video kwa hisani kubwa ya:
Source: Global TV Online
Jiwe nalo limeona mbali kichizi!!! Linajenga uwanja chattel bwakyakyahaahhahhahhHakika watu mnaona mbali sana !
Alifanikiwa kupona mambaranga baada ya Samweli 6 kusimama kideteAtakayebisha hili alete ushahidi
Uwiiiii
Routes
There are 192 flights on 28 different routes from Praia Nelson Mandela International Airport, connecting RAI to 27 different cities in 14 different countries. The most popular routes connect Praia
Aeroporto internacional da Praia Cabo Verde
Icelandair lands at Praia Nelson Mandela airport
Kijana hili swali lako ni uchochezi .kwa maana hiyo nikwamba viwanja vya Mwanza na Kilimanjaro ni vikubwa kuliko Uwanja wa Taifa wa Cape Verde?????
MKUU KWA KUONGEZEA NDEGE ZOTE ZA ENGINE MBIL ZINAZOPITA ATLANTIC OCEAN FLIGHT PLAN YAO LAST PONT NI PALE, LAZIMA ZINATUMIA CAPE VERDE INCASE YA EMERGENCY HATA NASA WAMEWEKEZA SPACE SHUTTLE KUTUA KWA DHARURATuache kudanganyana hapa!Mimi nimekaa Cape Verde takribani miezi sita.Wenzetu wana ndege kubwa tatu :airbus mbili na boeing 737-800 Next Generation ambayo ina uwezo wa kubeba abiria si zaidi ya 230. na zote zinapiga masafa ya Europe mpaka Caribbeans sasa huyu mzushi anayesema eti "hawana uwanja wa ndege wa kutua dreamliner ya Tanzania anaumwa au ni mgonjwa?"
HIvi visiwa vinapokea watalii zaidi ya mia sita kwa siku.
WATANZANIA ACHENI UZUSHI WA KIJINGA!
Hapana tunashinda hili game 2-0Dalili za kufungwa izi
Tuache kudanganyana hapa!Mimi nimekaa Cape Verde takribani miezi sita.Wenzetu wana ndege kubwa tatu :airbus mbili na boeing 737-800 Next Generation ambayo ina uwezo wa kubeba abiria si zaidi ya 230. na zote zinapiga masafa ya Europe mpaka Caribbeans sasa huyu mzushi anayesema eti "hawana uwanja wa ndege wa kutua dreamliner ya Tanzania anaumwa au ni mgonjwa?"
HIvi visiwa vinapokea watalii zaidi ya mia sita kwa siku.
WATANZANIA ACHENI UZUSHI WA KIJINGA!
Ukute walitangaza kwamba inaenda cape verde kabla ya kuwasiliana na mwenye ndege
Watu hawakugundua tangu mwanzo kuwa ilikuwa danganya toto kwasababu hiyo nauli ni kubwa mno. Walijua kabisa hakuna wataolipa hiyo nauli hivyo ndege haitakwenda. Na jiwe lazima alikuwa anaangalia tu pembeni anasema hiiiiii. Ndege ingejaa lazima jiwe angewachunguza hao watu.Bora wamempa Mwaki awaambie. Wangelinipa mimi wala nisingeli mung'unya maneno ningeliwapasukia waziiii. Mmepewa fursa kuijaribu mwendo Dream yenu mmeshindwa hata kuchangia tumafuta tu. Kweli Bongo ni bongolala kabisa. Mnataka kuisafirisha boeng yetu tupu kwenda na kurudi?? Ihurumieni basi jama. Hata miye nilikuwa nawaza, hao Watz wenye uwezo huo wa kutaapika $2000 nauli, bado ticket, bado chakula wapo Tz kweli au ma diaspora?? Hapa mnatakiwa kuishi ka ma devil halafu mnazo za kumwaga!! Mhhh
Huu ndio ukweli lkn imeshangaza sana Dr. Mwakyembe kuudanganya watanzania, yaani anatuona sisi mazuzu. Angetoa sababu hata za kiufundi kuwa imepata dharura ingawa kusema ukweli kuwa abiria wamekuwa wachache ingemjengea heshima kuliko uongo alioutumia.
Vv
Hivi ndio ile ndege iloandikwa HAPA KAZI tu ama?Asante Mungu, bora imebuma
Wanataka USD 1500-2000Mie nataka kwenda na stars nifanyeje?