Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

hawana lolote lindege lao bovu na linadaiwa, mbona wajanja walishatutonya kua izo ndege zikiruka nje ya nchi zinachukuliwa[emoji12] [emoji12]
 
Mm nkajua limedondoka kama lile dege la malaysia mungu bado you nasi

Nakupenda tanzania
 
Naona wameshtuka ilikua ikamatwe kesho mpaka tulipe deni.haya maisha kama digidigi sijui mpaka lini!
 




Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe amesema Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania – Taifa Stars kitaondoka usiku wa leo kuelekea mjini Praia, Cape Verde kwa ndege ya kukodi. mabadiliko ya safari hiyo kutoka Dream Liner na kuamua kukodi ndege yanatokana na ufinyu wa uwanja wa ndege wa Mjini Praia ambao hauwezi kutua ndege kubwa

My Take 1
Mwakyembe anadanganya kwa maslahi ya nani?

My Take 2
Ila wakuu Tanzania inachekesha aisee
Mwakyembe ameshtuliwa kuwa wadeni wetu wanamsubiri mwali airport wamkamate.
 
Bora wamempa Mwaki awaambie. Wangelinipa mimi wala nisingeli mung'unya maneno ningeliwapasukia waziiii. Mmepewa fursa kuijaribu mwendo Dream yenu mmeshindwa hata kuchangia tumafuta tu. Kweli Bongo ni bongolala kabisa. Mnataka kuisafirisha boeng yetu tupu kwenda na kurudi?? Ihurumieni basi jama. Hata miye nilikuwa nawaza, hao Watz wenye uwezo huo wa kutaapika $2000 nauli, bado ticket, bado chakula wapo Tz kweli au ma diaspora?? Hapa mnatakiwa kuishi ka ma devil halafu mnazo za kumwaga!! Mhhh
 
Nimejisikia aibu sana kana Mtanzania pale Dk. Mwakyembe alipowadanganya Watanzania ati Dreamliner yetu haiwezi kutua uwanja wa ndege wa Cape Verde! Mwakyembe inaoneka ama haifahamu Cape Verde au ni mwanasiasa anayetumia ghiliba.

Kama umo humu Dk. Mwakyembe, nakufahamisha kuwa Cape Verde uchumi wake unategemea utalii, Watalii wanakwenda Cape Verde kwa maelfu na hawatumii charter na bombadier kufika huko, wanashuka kwa madege makubwa kuliko hiyo dreamliner.

Vv
 
Kuna mtu anadata zinazoonyesha uwanja wa ndege wa cape Verde una uwezo gani ?

Je mwakyembe anaweza kuropoka tu jambo zito namna hiyo bila data za kutosha ?

Je kauli yake hiyo ina athari gani kidiplomasia kati ya Tanzania na cape Verde ?
 
Hakuna lakini, Dreamliner imekosa abiria wa kutosha watakaoambatana na team. Economically we are in deep shit.
Huu ndio ukweli lkn imeshangaza sana Dr. Mwakyembe kuudanganya watanzania, yaani anatuona sisi mazuzu. Angetoa sababu hata za kiufundi kuwa imepata dharura ingawa kusema ukweli kuwa abiria wamekuwa wachache ingemjengea heshima kuliko uongo alioutumia.

Vv
 
Back
Top Bottom