Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] acha niishie tu kucheka
 
Nyie inatakiwa mue waelewa hii ndege inatua kwenye viwanja vikubwa tu duniani vilivyopo Tanzania ambavyo ni mwz,klmanjaro,jnia na chato Kinakuja,hivyo ndio viwanja 4 vikubwa duniani ambako dreamliner yetu inatua.
Sawa mkuu!Kumbe dege letu ni hatari sana!
 
bawcha leo watapata usingizi ,,,,,wamefurahi kweli hahahahaha
 
Ukute walitangaza kwamba inaenda cape verde kabla ya kuwasiliana na mwenye ndege
 
Routes
There are 192 flights on 28 different routes from Praia Nelson Mandela International Airport, connecting RAI to 27 different cities in 14 different countries. The most popular routes connect Praia
Aeroporto internacional da Praia Cabo Verde
Icelandair lands at Praia Nelson Mandela airport


Usiumbue wateule mkuu,ndio maana wanataka kuifungia mitandao mkuu kwa kumbukumbu zinazoumbua kama hz
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀nimeishia kucheka baadala ya kushangaaaa😮😮😮😮😮😮😮DREAM LINER BHANA IMEKATALIWA BILA SABABU ZA MSINGI.
 
Kuna wakati hawa watu wa Rais Magufuli wachague kunyamaza kama kusema ukweli ni mzigo kwao.
Hivi kweli Wazir wa kiwango cha PhD mpaka siku moja kwa safari ndio anajua kuwa ndege haiwezi kutua Praia tena kwa kusikia kwenye mitandao kutoka Afrika magharibi? Wakati wanautangazia umma walishindwaje kuuliza kuhusu uwanja na je kulikuwa hakuhitajiki kibali cha ndege yetu kutua huko Cape Verde kiasi kwamba hawakuhitaji mawasiliano ili waambiwe hiyo ndege yenu haiwezi kutua hapa?
Taatifa ya Wazir inachekesha kama sio kusikitisha, yaani taifa kubwa kama hili linapata taarifa kuhusu uwanja wa ndege fulani tena kupitia mitandao ya kijamii?
 
Walio nunua ticket wakijua wanaondoka na dilimulania inakuwaje sasa?
 
Sawa tuseme uwanja ni mdogo Dreamliner haiwezi tua vipi kwa Bombardier ?

Msharudishwa IATA kwanza au bado ndio maana mkapigwa pini kuruka kwenye nchi za watu ?

Hivi zile Boeing zinazotua Cape Verde huwa zinatua kwenye maji ? Dah huu uongo sasa umezidi
Abiria wapo 120 bombadier inabeba 70
 
UWONGO UTATUMALIZA NA UKWELI UTATUWEKA HURU,HV Ukisema abiria ni wachache linakuwa jambo la ajabu mpaka uisingizie nchi ya Cape verde kwamba haina uwanja.
 




Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe amesema Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania – Taifa Stars kitaondoka usiku wa leo kuelekea mjini Praia, Cape Verde kwa ndege ya kukodi. mabadiliko ya safari hiyo kutoka Dream Liner na kuamua kukodi ndege yanatokana na ufinyu wa uwanja wa ndege wa Mjini Praia ambao hauwezi kutua ndege kubwa

My Take 1
Mwakyembe anadanganya kwa maslahi ya nani?

My Take 2
Ila wakuu Tanzania inachekesha aisee
 
Awamu hii kwa uongo !!!! Cape Verde uwanja ni mkubwa sana. Tazameni YouTube . Nilisema yale ya Zambia. Asante Mungu limebuma.
 
Back
Top Bottom