Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

Wakati wanatoa taarifa ya kusafiri na hiyo ndege yetu pendwa walikuwa hawajui kama inaweza kutua kwenye huo uwanja?
Huo uwanja unatua ndege nyingi kubwa tu.

Mwakyembe ameogopa kusema kuwa hili dege la kibisa ni hasara tupu kulipeleka huko imebidi atunge story za kipuuzi.
 
Cheki madege makubwa uwanja wa kimataifa wa Cape Verde kwa jina la Praia Nelson Mandela international airport (RAI) ikiwemo hili la shirika la ndege la Cape Verde, Cabo Verde Airlines. Uwanja wa kimataifa wa Cape Verde ulipanuliwa mwaka 2012 na kuwekewa vifaa vya kisasa kuhudumia ndege zote kubwa pamoja na ongezeko la abiria kutokana na kisiwa hicho kuwa kivutio kwa utalii wa kimataifa.
Taratibu mkuu, uchochezi huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi bado naona mauzauza tu. Ratiba ya mechi inajulikana. Waziri anatangazia Taifa na wapenzi wa soka kuwa kuna usafiri wa ndege ya serikali (dreamliner). Kila anayehtaji kwenda anatakiwa kuchangia "gharama kidogo tu" dola 1500 - 2000. Siku ya safari wameshajitokeza watu 262 wa kujaza Dreamliner, ghafla inagundulika uwanja wa ndege kumbe ni mdooooogo!! Unafaa kutua helkopta na ndege ndogondogo tu. Binafsi nachanganyikiwa sijui abiria zaidi ya 200 waliotoa nauli zao tutawaambia nini? Tingewaambia mapema watangulie na boti za Azam wangeshafika masikini!! Hata hivyo hakijaharibika kitu, kama uwanja ni Mdogo na tumeahindwa kuonesha "Fahari" yetu basi kesho ile meli yetu tuliyohifadhi jeshini kama silaha ya akiba (Mv Dar es salaam) ianze safari Mara moja. Hatuahiiiindwiii!
 
Back
Top Bottom