Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Nakuja mda si mrefu
Umechelewa mpk ndege imeondoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja mda si mrefu
HaaaaahaaaaKutokomeza vumbi kichwani[emoji3] [emoji3] [emoji3]
itakuwa " furasutureheni katika kontrakiti kwa distrakshei ofu sabjekiti mataWalio nunua ticket wakijua wanaondoka na dilimulania inakuwaje sasa?
Hii ndege zitatushinda tu kuziendesha.Tutalazimika ama kuingia ubia na makampuni makubwa au kuzikodisha.
Muda utaongea.
upo sahihi ...... ina maana hawakujua tangu mwanzo kuwa wanna ni mdogo ?.... mpaka hata kukata ticket? uwongo huu ni kiboko
Ni kweli lakini sasa uta anzia wapi kwa jamaa kujaza wanavihelehele hukuWatu wenye uelewa mnakaa kwenye mitandao ..tu ebu njoo ata mtaani mkawaelimishe watanzania bhana.
Hakuna lakini, Dreamliner imekosa abiria wa kutosha watakaoambatana na team. Economically we are in deep shit.
asante kwa kufichua siriView attachment 892280
View attachment 892286
Shirika la ndege Cape Verde Airline wana madege makubwa ya abiria kuliko ndege zetu na wanatumia viwanja vyao vyenye sifa za kimataifa bila shida.
Mwakyembe ameshtuliwa kuwa wadeni wetu wanamsubiri mwali airport wamkamate.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe amesema Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania – Taifa Stars kitaondoka usiku wa leo kuelekea mjini Praia, Cape Verde kwa ndege ya kukodi. mabadiliko ya safari hiyo kutoka Dream Liner na kuamua kukodi ndege yanatokana na ufinyu wa uwanja wa ndege wa Mjini Praia ambao hauwezi kutua ndege kubwa
My Take 1
Mwakyembe anadanganya kwa maslahi ya nani?
My Take 2
Ila wakuu Tanzania inachekesha aisee
Kwa vile ilikua Dreamliner no need of kibaliJe kibali cha kusafiri nje kipo?
bawcha leo watapata usingizi ,,,,,wamefurahi kweli hahahahaha
Huu ndio ukweli lkn imeshangaza sana Dr. Mwakyembe kuudanganya watanzania, yaani anatuona sisi mazuzu. Angetoa sababu hata za kiufundi kuwa imepata dharura ingawa kusema ukweli kuwa abiria wamekuwa wachache ingemjengea heshima kuliko uongo alioutumia.Hakuna lakini, Dreamliner imekosa abiria wa kutosha watakaoambatana na team. Economically we are in deep shit.