Hata pale TAIFA, wale VIP wa elfu 50 sijui elfu 30 muda mwingi midomo yao ipo busy na drinks ama bites, na sio kushangiliaUnategemea mtu alipe dola 1500 halafu aende akapige makelele uwanjani do 90 ???????? They are not serious.
Umerudi Tanzania? Umekosea sana?Tuache kudanganyana hapa!Mimi nimekaa Cape Verde takribani miezi sita.Wenzetu wana ndege kubwa tatu :airbus mbili na boeing 737-800 Next Generation ambayo ina uwezo wa kubeba abiria si zaidi ya 230. na zote zinapiga masafa ya Europe mpaka Caribbeans sasa huyu mzushi anayesema eti "hawana uwanja wa ndege wa kutua dreamliner ya Tanzania anaumwa au ni mgonjwa?"
HIvi visiwa vinapokea watalii zaidi ya mia sita kwa siku.
WATANZANIA ACHENI UZUSHI WA KIJINGA!
Mimi naomba... tuonane baada ya mechi.Sasa unaomba au unatabiri?
Maana maombi bhana yanaweza kuwa au yasiwe yale unayoyaomba.
Ukitabiri unaonesha itakuwa na pengine isiwe kabisa hasa kama wewe ni mtabiri mchovu
Umalaya wa mamayako unatuhusu nini? Kwani stars si kawaida yake kufungwa?Mleta mada umelogwa ni sawa kusema “naombea mama yangu awe Malaya “ . Nani anaaibika.? Acha ujinga.
Wanataka kutuambia uwanja wa Cape Verde unalingana na wa Ruangwa kwa Majaliwakwa maana hiyo nikwamba viwanja vya Mwanza na Kilimanjaro ni vikubwa kuliko Uwanja wa Taifa wa Cape Verde?????
Roho nzuri ipo kwa waongo? Stars ijiandae kwa kichapo maana wametudanganya.Ni roho mbaya tuu inakusumbua sababu yako ya kuichukia haina mashiko kabisa kwa sababu hawajaenda na ndege ya Serikali lakini bado wamekodiwa ndege na pia hujui kuwa hiyo ni ajira kwa vijana kufanya vizuri kwao ndio kunawatangazia biashara ya wao kucheza soka nje kwa wale waliopo ndani...
Kwani wachezaji ndo wamekudanganya.....Roho nzuri ipo kwa waongo? Stars ijiandae kwa kichapo maana wametudanganya.
Ndoto za mchanaHivi wameondoka na ndege ya Fastjet nini?Tulitajiwa Embraer 190 hatukuambiwa imekodiwa kutoka Kampuni gani.Cape Verde 0-Tanzania 2
Kiongozi wao.... laana itawatafunaKwani wachezaji ndo wamekudanganya.....
Ndoto za mchana