Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

Unategemea mtu alipe dola 1500 halafu aende akapige makelele uwanjani do 90 ???????? They are not serious.
Hata pale TAIFA, wale VIP wa elfu 50 sijui elfu 30 muda mwingi midomo yao ipo busy na drinks ama bites, na sio kushangilia
 
Tuache kudanganyana hapa!Mimi nimekaa Cape Verde takribani miezi sita.Wenzetu wana ndege kubwa tatu :airbus mbili na boeing 737-800 Next Generation ambayo ina uwezo wa kubeba abiria si zaidi ya 230. na zote zinapiga masafa ya Europe mpaka Caribbeans sasa huyu mzushi anayesema eti "hawana uwanja wa ndege wa kutua dreamliner ya Tanzania anaumwa au ni mgonjwa?"
HIvi visiwa vinapokea watalii zaidi ya mia sita kwa siku.
WATANZANIA ACHENI UZUSHI WA KIJINGA!
Umerudi Tanzania? Umekosea sana?
 
Kwakuwa siasa imeingia kwenye soka, stars itafungwa. Imeniuma sana. Yaani kudanganya watu wazima wamechanga wakijiua wanaenda na Dream Liner halafu leo unasema eti uwanja mdogo. Wewe ni mzembe au mkurupukaji au mwongo... ulianzaje kuwaaminisha watu kabla ya kujua mazingira ya huko mwendako?
Mnaenda kuchezea kipigo cha mbwa koko.
 
Sasa unaomba au unatabiri?
Maana maombi bhana yanaweza kuwa au yasiwe yale unayoyaomba.
Ukitabiri unaonesha itakuwa na pengine isiwe kabisa hasa kama wewe ni mtabiri mchovu
 
Sasa unaomba au unatabiri?
Maana maombi bhana yanaweza kuwa au yasiwe yale unayoyaomba.
Ukitabiri unaonesha itakuwa na pengine isiwe kabisa hasa kama wewe ni mtabiri mchovu
Mimi naomba... tuonane baada ya mechi.
 
Mleta mada umelogwa ni sawa kusema “naombea mama yangu awe Malaya “ . Nani anaaibika.? Acha ujinga.
Umalaya wa mamayako unatuhusu nini? Kwani stars si kawaida yake kufungwa?
 
kwa maana hiyo nikwamba viwanja vya Mwanza na Kilimanjaro ni vikubwa kuliko Uwanja wa Taifa wa Cape Verde?????
Wanataka kutuambia uwanja wa Cape Verde unalingana na wa Ruangwa kwa Majaliwa
 
Ni roho mbaya tuu inakusumbua sababu yako ya kuichukia haina mashiko kabisa kwa sababu hawajaenda na ndege ya Serikali lakini bado wamekodiwa ndege na pia hujui kuwa hiyo ni ajira kwa vijana kufanya vizuri kwao ndio kunawatangazia biashara ya wao kucheza soka nje kwa wale waliopo ndani...
 
Roho nzuri ipo kwa waongo? Stars ijiandae kwa kichapo maana wametudanganya.
 
Hivi wameondoka na ndege ya Fastjet nini?Tulitajiwa Embraer 190 hatukuambiwa imekodiwa kutoka Kampuni gani.Cape Verde 0-Tanzania 2
 
hii mechi kufungwa kwetu ni droo, huwezi ichukia timu kisa ujaenda na ndege ya serikali. kila la kheri taifa stars
 
Back
Top Bottom