Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

Cheki madege makubwa uwanja wa kimataifa wa Cape Verde kwa jina la Praia Nelson Mandela international airport (RAI) ikiwemo hili la shirika la ndege la Cape Verde, Cabo Verde Airlines. Uwanja wa kimataifa wa Cape Verde ulipanuliwa mwaka 2012 na kuwekewa vifaa vya kisasa kuhudumia ndege zote kubwa pamoja na ongezeko la abiria kutokana na kisiwa hicho kuwa kivutio kwa utalii wa kimataifa.
 
We nawe,acha kumwaibisha waziri wa jpm! Hata kama unajua sababu ni kutokana na kukosa abiria wa kujaza ndege si ukaushe tu? Acha kimuhe muhe na wewe!
 
wameshituka uchumi na sifa za kijinga !!!wangekubal tu kwamba hicho kiwango cha dola 2000/1500 kwa maisha ya mtanzania wa sasa ni kubwa mno!!isingewezekana ndege ya watu 262 ijaye!!watu wamekosekana na si busara kupeleka ndege kubwa hivyo!!ni uungwana tu ,kuliko kuanza mala run way ni fupi
 
Sio amekataa, bali imebuma.
 
Na mwaka huu hiyo dream liner lazima ipate kutu kama si kua mazalia ya panya...Uongo uongo tu
 
Hakuna lakini, Dreamliner imekosa abiria wa kutosha watakaoambatana na team. Economically we are in deep shit.
Tena wanaogopa lawama kutumia gharama kubwa na taifa star ipingwe 3-0 patachimbika,na dreamliner yao wataonekana kama hawafai, nisawasawa ktumia BMW kua school van inaitwa "misallocation of public fund"
 
Cheki madege makubwa uwanja wa kimataifa wa Cape Verde kwa jina la Praia Nelson Mandela airport ikiwemo hili la shirika la ndege la Cape Verde, Cabo Verde Airlines
Serikali iwe wakweli kwa wananchi. Wasitufanye sisi wajinga. Ni wazi hiyo ndege waliinunua kwa kukurupuka. Sasa zikija hizo kubwa zingine zitafanya flights za wapi?
Hii picha chini pia ni DEGE likiwa limepaki air port ya Nelson Mandela. Sasa sijuo hii dreamliner yetu ina uspesho gani ishindwe tua hapo.
 
Mkuu,unambishia Waziri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…