Mibas
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,196
- 6,367
Hakuna lakini, Dreamliner imekosa abiria wa kutosha watakaoambatana na team. Economically we are in deep shit.Sawa. Lakini...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna lakini, Dreamliner imekosa abiria wa kutosha watakaoambatana na team. Economically we are in deep shit.Sawa. Lakini...
hiyo ni zuga tu!!hao tisini hadi sasa hawajafika sembuse hao 262!!!!
Routes
There are 192 flights on 28 different routes from Praia Nelson Mandela International Airport, connecting RAI to 27 different cities in 14 different countries. The most popular routes connect Praia
Aeroporto internacional da Praia Cabo Verde
Icelandair lands at Praia Nelson Mandela airport
wameshituka uchumi na sifa za kijinga !!!wangekubal tu kwamba hicho kiwango cha dola 2000/1500 kwa maisha ya mtanzania wa sasa ni kubwa mno!!isingewezekana ndege ya watu 262 ijaye!!watu wamekosekana na si busara kupeleka ndege kubwa hivyo!!ni uungwana tu ,kuliko kuanza mala run way ni fupiUwanja wa ndege cape vede ni mdogo!??????
Walipokuwa wanatwambia tutakwenda na ndege yetu walikuwa hawaujui huo uwanja???
Lakini kubwa ni kwamba,wametudanganya kabisa,uwanja wa ndege wa cape vede ni international airport, sio kweli kwamba hauna uwezo wa kupokea dream liner!!!
Watwambie tu kuwa bwana mkubwa amekataa!!!
Cheki madege makubwa uwanja wa kimataifa wa Cape Verde kwa jina la Praia Nelson Mandela airport ikiwemo hili last Cabo Verde Airlines
Sio amekataa, bali imebuma.Uwanja wa ndege cape vede ni mdogo!??????
Walipokuwa wanatwambia tutakwenda na ndege yetu walikuwa hawaujui huo uwanja???
Lakini kubwa ni kwamba,wametudanganya kabisa,uwanja wa ndege wa cape vede ni international airport, sio kweli kwamba hauna uwezo wa kupokea dream liner!!!
Watwambie tu kuwa bwana mkubwa amekataa!!!
daaaa!!!hahahhaha,ilikuwa hatari sanaaa!!!kitu toka kwa PUTINKutokomeza vumbi kichwani[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tena wanaogopa lawama kutumia gharama kubwa na taifa star ipingwe 3-0 patachimbika,na dreamliner yao wataonekana kama hawafai, nisawasawa ktumia BMW kua school van inaitwa "misallocation of public fund"Hakuna lakini, Dreamliner imekosa abiria wa kutosha watakaoambatana na team. Economically we are in deep shit.
Hii ndege zitatushinda tu kuziendesha.Tutalazimika ama kuingia ubia na makampuni makubwa au kuzikodisha.Hakuna lakini, Dreamliner imekosa abiria wa kutosha watakaoambatana na team. Economically we are in deep shit.
Cheki madege makubwa uwanja wa kimataifa wa Cape Verde kwa jina la Praia Nelson Mandela airport ikiwemo hili la shirika la ndege la Cape Verde, Cabo Verde Airlines
Cheki madege makubwa uwanja wa kimataifa wa Cape Verde kwa jina la Praia Nelson Mandela airport ikiwemo hili la shirika la ndege la Cape Verde, Cabo Verde Airlines. Uwanja wa kimataifa wa Cape Verde ulipanuliwa mwaka 2012 na kuwekewa vifaa vya kisasa kuhudumia ndege zote kubwa pamoja na ongezeko la abiria kutokana na kisiwa hicho kuwa kivutio kwa utalii wa kimataifa.