Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

Taifa Stars waenda Cape Verde bila Dreamliner

Lakini uliposema ni takataka hukuwa na data. Nikikuletea data za match za kimataifa ambazo Cape Verde wamecheza na nchi zenye heshima kimpira, nadhani utarekebisha mtazamo wako juu ya hii nchi kimpira. Ni ndogo kwa eneo lakini tuwaheshimu kimpira. Tuiombee Taifa stars ishinde kwa sababu mpira unadunda lakini siyo kuwadharau hawa Cape Verde.

Sikuwa na data maana Africa ni Africa tu!
Nimeona: Cape Verde are the biggest overall movers in the latest Fifa World Rankings as they climbed a total of 47 places.

The Blue Sharks' two victories over South Africa in 2018 World Cup qualifying has seen them move from 114 to 67 globally and 13th in Africa.

Lakini bado ni wa hapa hapa...... walichupa nadhani kibahati bahati.... wanatuzidi...
 
Sikuwa na data maana Africa ni Africa tu!
Nimeona: Cape Verde are the biggest overall movers in the latest Fifa World Rankings as they climbed a total of 47 places.

The Blue Sharks' two victories over South Africa in 2018 World Cup qualifying has seen them move from 114 to 67 globally and 13th in Africa.

Lakini bado ni wa hapa hapa...... walichupa nadhani kibahati bahati.... wanatuzidi...
Waone hapo

IMG_20181010_193444_446.JPG
 
Mkuu Retired, tunapenda nchi yetu ishinde na isonge mbele, lakini hawa jamaa si wa kubeza. Wako vizuri.
 
Tayari Cape Verde wamekanusha uwanja wao mdogo zaidi wamesikitishwa na kauli ya Waziri.
 
Huyu mtani wangu huwa namfananisha na yule waziri wa habari wa enzi za Sadam, Muhammad Saeed al-Sahhaf.
 
Amílcar Cabral International Airport ( IATA:
SID , ICAO : GVAC), also known as Sal
International Airport , is the main international
airport of Cabo Verde . The airport is named
after the revolutionary leader Amílcar Cabral .
It is located two km west-southwest from
Espargos on Sal Island. Sal was the main hub
for the national airline, TACV; now it serves
as a base for carrier Cabo Verde Express .
This airport was also one of NASA's locations
for a facility to handle the Space Shuttle after
reentering from orbit.
 
October 10, 2018
Praia, Cape Verde
Timu ya taifa la Tanzania, Taifa stars yawasili visiwani Cape Verde baada ya kuwa angani kwa masaa takriban 6 hewani.

Wamepokelewa vyema na maofisa pamoja na wenyeji wa visiwa hivi bila hiyana yoyote kinyume na habari za uwezekano wa kufanyiwa 'mabaya' na wenyeji wao ktk mji wa Praia, ambao ndiyo mji mkuu wa nchi ya Cape Verde.

Source: MCL Digital
 
October 10, 2018
Praia, Cape Verde
Mara baada ya kuwasili visiwani Cape Verde, Timu ya taifa ya Tanzania ilielekea ktk viwanja vya kupasha misuli na mazoezi chini ya Kocha mkuu Emmanuel Amunike. Wachezaji wa Taifa Stars wakielekea mazoezini wamesikika wakitamba kuibuka na ushindi mnono wa mabao 2 mpaka matatu siku ya mechi hiyo ya Ijumaa tarehe 12 Oktoba 2018.

Source : Azam TV
 
Natamani tuchakazwe vya kutosha na cape verde!
 
Back
Top Bottom