Lakini uliposema ni takataka hukuwa na data. Nikikuletea data za match za kimataifa ambazo Cape Verde wamecheza na nchi zenye heshima kimpira, nadhani utarekebisha mtazamo wako juu ya hii nchi kimpira. Ni ndogo kwa eneo lakini tuwaheshimu kimpira. Tuiombee Taifa stars ishinde kwa sababu mpira unadunda lakini siyo kuwadharau hawa Cape Verde.
Sikuwa na data maana Africa ni Africa tu!
Nimeona: Cape Verde are the biggest overall movers in the latest Fifa World Rankings as they climbed a total of 47 places.
The Blue Sharks' two victories over South Africa in 2018 World Cup qualifying has seen them move from 114 to 67 globally and 13th in Africa.
Lakini bado ni wa hapa hapa...... walichupa nadhani kibahati bahati.... wanatuzidi...