Taifa Stars ya Jana wangepangwa Wachezaji wengi ya Yanga SC tungefungwa hata Goli / Bao 15 Hongera Kocha

Jamaa wewe Leo umeleta mada ya kijinga kabisa kuwahi kutokea kwenye jukwaa hili.

Kama kweli uliangalia mpira Jana bila mihemko ya Simba na Yanga utakubaliana nami kuwa sehemu ya viungo Haikuwa inaonekana Kazi yake, pia Mabeki ukimtoa Nyoni walio baki wote Walikuwa wanacheza kwa mtero mkubwa na kuwafanya jamaa wapeane pasi Hadi ndani ya box.

Ukija kwa Manula naweza kusema mwanzoni alianza kwa kupanic na pressure kubwa Hadi kupelekea kusababisha penati isiyo ya lazima.(Nashukru kipindi cha pili watu wa saikolojia walimuweka sawa akawa mchezoni).

Note; Kwa kiwango Cha wachezaji wetu Hawa Basi tutegemee michuano ya klabu bingwa ikaanza kuwa tunakula tano na kuendelea.
 
Ujinga tu yaani huu ni ujinga tu,kwa hali hii bado utaendelea kuwa mjinga tu. Haya mmepigwa cha nguruwe sasa unajisikiaje hapo ulipo?
 
Hivi wachezaji wa simba na umri ule wataenda ulaya gani acha kuchezea akili za watu misimu mitano upo simba leo hii useme unaweza kucheza ulaya labda ulaya msimbazi
 
Wewe Bila Shaka ni rungu fc
 
fala kweli wewe mlipopigwa hamsa hamsa hao wachezaji hawakuwepo?
 
Kutokana na hizi mentality zenu hizi ndiyo maana mimi natamani sana hivi vilabu 2 Vyura FC & Mbumbumbu SC vife na kupotezwa kabisa kutoka katika ulimwengu wa soka nchini ili Taifa Stars ianze kubeba ndoo za Afcon na kuwa regular participant kwenye WC finals.
 
Sizungumzii walio enda TRIALS. Nazungumzia watu kama wakina Maka Edward, Yohana Mkomola, Saimon Msuva .Hahahaha
Akili zako zinakutosha,kichuya kacheza Enpi ya misri msimu mzima,salamba kaenda south Africa msimu mzima hizo ni trial?

Sijazungumzia miaka mi4 nyuma ambapo mwinyi kazimoto,Lyanga na Maguli
 
Kwa ule uchochoro alio ujenga Kapombe Jana.

Kwa kitendo cha Manula kudaka miguu badala ya Achour.

Ni kweli hawawezi kukosa timu ya kuchezea huko Ulaya hasa maeneo ya nchi za Scandinavia.
kapombe jana kaangushwa sana na msuva hakumsaidia kukaba ila zimbwe kafanya kazi sana boko nampongeza kwenye kukaba mana kule mbele mipira ilikuwa haifiki atleast kasaidia defence,manula hamna la kulalamika man of the match,nyoni kacheza poa sana,mkude na wenzae katikati wamevurunda
 
Akili zako zinakutosha,kichuya kacheza Enpi ya misri msimu mzima,salamba kaenda south Africa msimu mzima hizo ni trial?

Sijazungumzia miaka mi4 nyuma ambapo mwinyi kazimoto,Lyanga na Maguli

Okwi, Abdu Banda, Matola, Dany Mrwanda, Haruna Moshi n............
 
Jana kaweka vibabu vipaki bus..jumanne anaanza Feisal mwenye dimba lake amwage marashi ya karafuu
Kila mwenye kujua Soka vyema na kabahatika pia kulicheza huwezi kutompanga Jonas Mkude na ukampanga 'Mla Halua' Feisal Salum. Hujishtukii?
 
Heshimu Mawazo ya wengine pia uwepo hapa Jamvini 'Mpuuzi' Wewe. Baki na unachokiamini na niache nami pia niamini kile nilichokiona ile Jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…