njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
ni bora acheze kiungo cha juu ingawa hajui hata kupiga pasi,mkabaji awe nyoni,angalau kama ni ugenini unapata sense ya kujiinda,wawa,onyango,nyoni na huyo mkudeKakuchapia / Kakukanyagia / Kakutindulia / Kakungonolia Demu wako au Mkeo labda? Ukisema 'humkubali' Mkude wenye Akili 'tutakudharau' sana.
Absolutely Hogwash!punguza mastusi huwezi changia mada bila kero???????anakimbia kama ana majipu wenye miguu,anachelewa kukaba hajui ku tackle akikutana na wachezaji wenye kasi yeye ni kunyanyua miguu na kukita, he is a weak DM hamna kitu pale
Hiki ndio kinachofanya muitwe mnyero fc.
Akili yenu mmeshikiwa na Manara.Huwezi ukawa na Timu ya Taifa yenye Wachezaji mahiri wa Klabu ya Simba SC kama akina Manula, Kapombe, Tshabalala, Nyoni, Mkude na Boko halafu ukafungwa Goli / Bao nyingi na Timu yoyote ile. Hongera sana Kocha wa Taifa Stars Ndayiragije kwa Kutupangia Wachezaji wengi wa Timu yangu bora ya Simba SC. Ungewapanga wengi wa Yanga SC jana 'tungekula' hata 15 pale.
Sasa nakuomba mno Kocha wangu Ndayiragije ambaye nakumbuka nilishakaa mahala na Wewe na ukaniambia kuwa kama kuna Timu ambayo si tu unaipenda bali pia inacheza Soka safi na Wachezaji wake wengi wana 'Vipaji' vikubwa nchini ni Simba SC katika Mechi yako ya 'Keshokutwa' ambayo ni ya marudiano 'Kikosi' chako kiwe hivi tafadfhali na wala usikibadilishe kabisa......
1. Aishi Manula ( Kipa bora Tanzania ambaye jana kaonyesha uwezo mkubwa mno wa Kudaka na anastahili pongezi nyingi )
2. Shomary Kapombe ( Beki ambaye hata angeenda Real Madrid au PSG au Liverpool yangu bado angepata namba Kikosi cha Kwanza )
3. Mohammed Hussein 'Tshabalala' ( Mchezaji ambaye hata Lionel Messi akimuona atawaomba FC Barcelona Wamsajili upesi sana )
4. Bakari Nondo ( ambaye kama mambo yakienda vyema huenda akatua Simba SC )
5. Erasto Nyoni ( Mchezaji ambaye tokea aanze Kucheza Soka Akademi hadi leo hajachuja na hatochuja ng'o hadi akistaafu )
6. Jonas Mkude ( Mdogo wangu na Mwanangu Mwenyewe na Kiungo ambaye bado sijaona wa Kumfananisha nae nchini Tanzania )
7. Simon Msuva ( ambaye hakuna asiyemjua kuwa anaipenda Simba SC tokea akiwa Tumboni mwa Mama yake )
8. Salum Aboubakar ( ambaye anajulikana ni Simba SC sana ila Baba yake anamtishia akija tu Simba SC atamuachia Laana )
9. Ditram Nchimbi ( ambaye kama mambo yakienda vyema nae atatua Simba SC muda wowote ule )
10. John Boko ( Mshambuliaji aliyezaliwa tu kuja Kufunga Magoli na kutoa Pasi za Kufunga kwa Wenzake )
11. Farid Musa ( ambaye 99% ya Marafiki zake wa Karibu hasa Wachezaji ni wa Simba SC na muda wowote anatua Msimbazi )
Na kama Kocha Ndayiragije ukiamua Kufanya 'Mabadiliko' basi ingiza Wachezaji hawa tu Wawili Said Ndemla na Muzamiru Yassin wa Yanga SC NO.
Kwa maneno hayo tafsiri halisi simba ndiyo timu ya taifa siyo?Huwezi ukawa na Timu ya Taifa yenye Wachezaji mahiri wa Klabu ya Simba SC kama akina Manula, Kapombe, Tshabalala, Nyoni, Mkude na Boko halafu ukafungwa Goli / Bao nyingi na Timu yoyote ile. Hongera sana Kocha wa Taifa Stars Ndayiragije kwa Kutupangia Wachezaji wengi wa Timu yangu bora ya Simba SC. Ungewapanga wengi wa Yanga SC jana 'tungekula' hata 15 pale.
Sasa nakuomba mno Kocha wangu Ndayiragije ambaye nakumbuka nilishakaa mahala na Wewe na ukaniambia kuwa kama kuna Timu ambayo si tu unaipenda bali pia inacheza Soka safi na Wachezaji wake wengi wana 'Vipaji' vikubwa nchini ni Simba SC katika Mechi yako ya 'Keshokutwa' ambayo ni ya marudiano 'Kikosi' chako kiwe hivi tafadfhali na wala usikibadilishe kabisa......
1. Aishi Manula ( Kipa bora Tanzania ambaye jana kaonyesha uwezo mkubwa mno wa Kudaka na anastahili pongezi nyingi )
2. Shomary Kapombe ( Beki ambaye hata angeenda Real Madrid au PSG au Liverpool yangu bado angepata namba Kikosi cha Kwanza )
3. Mohammed Hussein 'Tshabalala' ( Mchezaji ambaye hata Lionel Messi akimuona atawaomba FC Barcelona Wamsajili upesi sana )
4. Bakari Nondo ( ambaye kama mambo yakienda vyema huenda akatua Simba SC )
5. Erasto Nyoni ( Mchezaji ambaye tokea aanze Kucheza Soka Akademi hadi leo hajachuja na hatochuja ng'o hadi akistaafu )
6. Jonas Mkude ( Mdogo wangu na Mwanangu Mwenyewe na Kiungo ambaye bado sijaona wa Kumfananisha nae nchini Tanzania )
7. Simon Msuva ( ambaye hakuna asiyemjua kuwa anaipenda Simba SC tokea akiwa Tumboni mwa Mama yake )
8. Salum Aboubakar ( ambaye anajulikana ni Simba SC sana ila Baba yake anamtishia akija tu Simba SC atamuachia Laana )
9. Ditram Nchimbi ( ambaye kama mambo yakienda vyema nae atatua Simba SC muda wowote ule )
10. John Boko ( Mshambuliaji aliyezaliwa tu kuja Kufunga Magoli na kutoa Pasi za Kufunga kwa Wenzake )
11. Farid Musa ( ambaye 99% ya Marafiki zake wa Karibu hasa Wachezaji ni wa Simba SC na muda wowote anatua Msimbazi )
Na kama Kocha Ndayiragije ukiamua Kufanya 'Mabadiliko' basi ingiza Wachezaji hawa tu Wawili Said Ndemla na Muzamiru Yassin wa Yanga SC NO.
Ulaya hawachukuliwi ngumbaluKuna 'Wakala' mmoja wa Wachezaji mkubwa jana nilikaa nae mahala tunatizama 'Game' akasema Wachezaji wa Simba SC 'wanauzika' sana Ulaya.
Upuuzi tupuHeshimu Mawazo ya wengine pia uwepo hapa Jamvini 'Mpuuzi' Wewe. Baki na unachokiamini na niache nami pia niamini kile nilichokiona ile Jana.
Unauliza 'Mauwaji' Kibiti?Kwa maneno hayo tafsiri halisi simba ndiyo timu ya taifa siyo?
hakuna kitu pale weweeee unadhani tumesahau ulivyomkandia kotei ukaja kumsifia baadaye ,ifike tu december 15 aje kiungo mkabaji anayejua mpiraKama una 'Ugomvi' wako na Jonas Gerald Mkude labda 'anakuchapia' Demu wako / Mkeo tafadhali mtafute tu ili umalizane nae na usilie lie hapa.
Labda uraya.....lkn ulaya sahauKuna 'Wakala' mmoja wa Wachezaji mkubwa jana nilikaa nae mahala tunatizama 'Game' akasema Wachezaji wa Simba SC 'wanauzika' sana Ulaya.