Tuna msiba mzitoSafari yetu imefika kiko.o
Tutafuzu vipi kwa butua butua hizi, hatupigi hata pasi 2? Acha wanaojua wafuzu.......maana Tz nikama wachezaji wameokotana tu kwenda kwenye mechiTayari tumetolewa rasmi
Hakuna mkubwa mbele ya pesa hata wewe ungekuwa na vitu adimu na vya kipekee tungekubadili uraia mkuuHao wachezaji wa kimataifa mngewabadili uraia ili wachezee Simba kama national team?
Wamechezea uwanja gani bwashee?Ama kweli sisi bado ni kichwa cha mwendawazimu linapokuja swala la michezo.......inasikitisha saana. Nimeangalia mechi ya leo wachezaji wetu walikuwa wanadondoka dondoka kama kuku pasi mbili mtu kapoteza mpira sijui tatizo letu ni nini? papara nyingi mtu anaanza kutetemeka kabla hajapokea pasi..aisee inauma saana
Equatorial GuineaWamechezea uwanja gani bwashee?
Watasingizia msibaAma kweli sisi bado ni kichwa cha mwendawazimu linapokuja swala la michezo.......inasikitisha saana. Nimeangalia mechi ya leo wachezaji wetu walikuwa wanadondoka dondoka kama kuku pasi mbili mtu kapoteza mpira sijui tatizo letu ni nini? papara nyingi mtu anaanza kutetemeka kabla hajapokea pasi..aisee inauma saana
Kichwa cha habari kimekaa kinazi kana kwamba umefurahishwa na Stars kufungwa
Timi yetu haikucheza waliingia na gameplan mbovu. Aishi katuokoa kutokupigwa goli nyingi.Mpira ulikuwa mgumu sana. Hata hivyo Guinea wameonyesha uzoefu kwani timu nzima inacheza ina wachezaji wanaocheza nje hasa Spain.
Timu yetu ilikosa umakini kipindi cha pili.