Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...

Ama kweli sisi bado ni kichwa cha mwendawazimu linapokuja swala la michezo inasikitisha saana. Nimeangalia mechi ya leo wachezaji wetu walikuwa wanadondoka dondoka kama kuku pasi mbili mtu kapoteza mpira sijui tatizo letu ni nini?

papara nyingi mtu anaanza kutetemeka kabla hajapokea pasi..aisee inauma saana
 
Ama kweli sisi bado ni kichwa cha mwendawazimu linapokuja swala la michezo.......inasikitisha saana. Nimeangalia mechi ya leo wachezaji wetu walikuwa wanadondoka dondoka kama kuku pasi mbili mtu kapoteza mpira sijui tatizo letu ni nini? papara nyingi mtu anaanza kutetemeka kabla hajapokea pasi..aisee inauma saana
Wamechezea uwanja gani bwashee?
 
Watasingizia msiba
 
Kichwa cha habari kimekaa kinazi kana kwamba umefurahishwa na Stars kufungwa!
 
Mpira ulikuwa mgumu sana. Hata hivyo Guinea wameonyesha uzoefu kwani timu nzima inacheza ina wachezaji wanaocheza nje hasa Spain.
Timu yetu ilikosa umakini kipindi cha pili.
 
Timi yetu haikucheza waliingia na gameplan mbovu. Aishi katuokoa kutokupigwa goli nyingi.

Tatizo wakati wa yule mrudi ilikuwa timu hawezi tengeneza chances. Hilo pia limejionyesha leo. Sasa unakaa unajiuliza kweli hapa mazoezini wanafanya nini?
 
Back
Top Bottom