ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Wachezaji wa Yanga wanatia gundu timu ya taifa.
HayaTopolo mmoja kabahatisha number kwenye timu
We timu yako nzuri sababu ya Luis,Chama na bwalya...hao wengine kama hawa waliokuwa timu ya taifa ni UTOPOLO uliochangamkaWachezaji wa Yanga wanatia gundu timu ya taifa.
Msuva ni Msuva tu kucheza Wydad haitamfanya kuwa Sadio Manewachezaji wetu wamezubaa sana. Msuva pamoja na kuchezea Waydad lakini anampasia adui mpira
😂😂😂🤣🤣🤣 ***** nimecheka.Msuva ni Msuva tu kucheza Wydad haitamfanya kuwa Sadio Mane
Wachezaji wa mikia wanakaba kwa macho, ndiyo faida ya kumchezesha Kennedy Juma unamwacha nje mwamnyetoMsuva kachoma hukooo...dk za lala salama kbsaa.. anachukua mpira anaurudisha anampasia adui...msuva amebet. Siyo bure.
Ufuvu uende Wapi?Tutafuzu vipi kwa butua butua hizi, hatupigi hata pasi 2? Acha wanaojua wafuzu.......maana Tz nikama wachezaji wameokotana tu kwenda kwenye mechi
"Defense Line"We timu yako nzuri sababu ya Luis,Chama na bwalya...hao wengine kama hawa waliokuwa timu ya taifa ni UTOPOLO uliochangamka
Bora Ndairagije kuliko huyu mzungu kichaa"Defense Line"
Manula
Kapombe
Zimbwe
Kennedy
Nyoni
Ushuzi kabisa[emoji36]
"Viungo"
Mzamiru
Mkude na bado
Haitoshi
Wakamwingiza Na Dilunga ili simba itimie,,! Walete sifa mtaan,,!
Hivi mgunda na matola wanatuchukuliaje,,!? Watanzania kuleta mahaba yao ya usimba kwenye Timu ya taifa,,! Mbaya zaidi tumefiwa[emoji27]
Mbona Wengi waliocheza Ni Simba Wote, mlifanya Maajabu Gani?Mpira gani Tanzania tulionao, mpira ni wa simba tu hapa nchini wengine ni ovyo kabisa
Mi niliposikia tu kuwa, TUTASHINDA ILI KUMUENZI JPM, nikajua tutashindwa tu!Kichwa cha habari kimekaa kinazi kana kwamba umefurahishwa na Stars kufungwa!