Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...

Taifa Stars yabamizwa 1-0 Equatorial Guinea na kukosa ticket ya kushiriki AFCON 2022...

Tanzania nchi yangu Bila kufuata misingi ya kila jambo linavyotakiwa kuwa au kufanywa ndio linalo tugharimu sana.kila mchezo iwe ngumi football riadha na mingineyo tuko nyuma kwa sababu hatuanzii kwnye mizizi ya michezo hiyoo na na kuwaandaa wanamichezo haoo bali tunaopoa opoa misingi ya kimichezo nchini ni tatizo na hiyoo ndio cancer inayotutafuna .
 
Msuva kachoma hukooo...dk za lala salama kbsaa.. anachukua mpira anaurudisha anampasia adui...msuva amebet. Siyo bure.
Wachezaji wa mikia wanakaba kwa macho, ndiyo faida ya kumchezesha Kennedy Juma unamwacha nje mwamnyeto
 
Kuna mtu ana mawazo kuwa taifa stars itashinda mechi yoyote ya maana karne hii ya 21?

Tuache utani.
 
We timu yako nzuri sababu ya Luis,Chama na bwalya...hao wengine kama hawa waliokuwa timu ya taifa ni UTOPOLO uliochangamka
"Defense Line"
Manula
Kapombe
Zimbwe
Kennedy
Nyoni
Ushuzi kabisa[emoji36]
"Viungo"
Mzamiru
Mkude na bado
Haitoshi
Wakamwingiza Na Dilunga ili simba itimie,,! Walete sifa mtaan,,!
Hivi mgunda na matola wanatuchukuliaje,,!? Watanzania kuleta mahaba yao ya usimba kwenye Timu ya taifa,,! Mbaya zaidi tumefiwa[emoji27]
 
Bora Ndairagije kuliko huyu mzungu kichaa
 
Mpira gani Tanzania tulionao, mpira ni wa simba tu hapa nchini wengine ni ovyo kabisa
 
Back
Top Bottom