Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kwa mawazo kama haya Mama Samia ana kazi nzito.Mpira gani Tanzania tulionao, mpira ni wa simba tu hapa nchini wengine ni ovyo kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mawazo kama haya Mama Samia ana kazi nzito.Mpira gani Tanzania tulionao, mpira ni wa simba tu hapa nchini wengine ni ovyo kabisa
Shot on target sio kigezo cha timu kicheza vizuri, inategemea na game plan Mwalimu kaingia nayo, our plan was to draw the game, not to win. Afu game ya mwisho ambayo ilikuwa tucheze na Walibya nyumbani ndio tushinde.Tuache kulaumu Taifa stars sio ya kwanza kufungwa
Msuva ni wa simbaWachezaji wa mikia wanakaba kwa macho, ndiyo faida ya kumchezesha Kennedy Juma unamwacha nje mwamnyeto
Hawa hawa walipata matokeo dhidi ya Clubs za Zimbabwe, Nigeria, Egypt, Sudan na DRC. Game plan ya Coach ndiyo tatizo"Defense Line"
Manula
Kapombe
Zimbwe
Kennedy
Nyoni
Ushuzi kabisa[emoji36]
"Viungo"
Mzamiru
Mkude na bado
Haitoshi
Wakamwingiza Na Dilunga ili simba itimie,,! Walete sifa mtaan,,!
Hivi mgunda na matola wanatuchukuliaje,,!? Watanzania kuleta mahaba yao ya usimba kwenye Timu ya taifa,,!
Mwamnyeto anayepitwa na mafoward wa Namungo na coastal ndiyo apambane hii mechi, acha utaniWachezaji wa mikia wanakaba kwa macho, ndiyo faida ya kumchezesha Kennedy Juma unamwacha nje mwamnyeto
Wee hujui mpira...shot on target sio kigezo??!!! Sasa goli utapataje kama hulengi goli?Shot on target sio kigezo cha timu kicheza vizuri, inategemea na game plan Mwalimu kaingia nayo, our plan was to draw the game, not to win. Afu game ya mwisho ambayo ilikuwa tucheze na Walibya nyumbani ndio tushinde.
Msuva ni beki?Msuva ni wa simba
What was the game plan of the couch?Wee hujui mpira...shot on target sio kigezo??!!! Sasa goli utapataje kama hulengi goli?
Second, the greater the number of consecutive passes the greater the probability of a shot on target. Sis kupiga hizo consecutive passes tulikuwa hatuwezi ndio maana ata shot on targets hazikuwepo.
Kwa maoni yangu, alichoshindwa kufanya kim ni kurekebisha makosa ya yule mrundi ambalo; timu kushindwa kutengeneza nafasi za wazi za kufunga. Sasa in a nutshell kinachomaanisha hapa nikwamba there was no coaching done kwa sababu hakukuwa na improvement yoyote ukilinganisha na mtangulizi wake.
The game plan was to simply maintain as much as possible a midlle to low defensive block and try catch opponent on the counter. Unfortunately this was not executed well. When u play on the counter attack there are two necessary requirementsWhat was the game plan of the couch?
Uliangalia mpiraMsuva ni beki?